Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Madrid ni km Nyani zee lililokwepa mishale mingi na kukutana na misuko suko tele na akaimudu..
Na mwendo wake huu huu wa ngarawa mwsho wa msimu tunaskia record ya kuchukua ndoo mara 3 mfululizo.
Mchawi wetu wa leo ni...MARCO ASENSIO
Na mwendo wake huu huu wa ngarawa mwsho wa msimu tunaskia record ya kuchukua ndoo mara 3 mfululizo.
Mchawi wetu wa leo ni...MARCO ASENSIO