Real madrid

Real madrid

Bingwa Barcelona asilimia 99.9999999999 akiteleza kidogo Bayern Bingwa. Tukutane fainali.
 
Totenham mwenyewe kashamgonga madrid na baselona pia ubingwa ni kwa uingereza hispania msimu hawana timu ya kuchukua ubingwa
Hapa league iLipofikia ni uzoefuu,ujanja ujanja, bahati na mbinu za njee ya uwanja.
Nusu final naiona team moja from England really kwa mtazamo wangu
 
PSG haina uzoefu na UEFA. Nadhani haijawahi hata kchukua hili kombe tofauti na Masseille
 
Back
Top Bottom