Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 557
Labda mwakaniNadhan wataonekana baada ya mechi ya pili labda
Hawawezi kuonekana tena.Nadhan wataonekana baada ya mechi ya pili labda
Counter attacks zipo za kutosha. Ole wao wajifanye kufunguka wakitafuta magoliMechi bado haijaisha ile
Katkat walikamata vizur tatizo PSG utoto ulikuwa mwingi walikosa wazoefu kama kina tiago mota tiago Silva pia Cavan hana msaada na tm
Hahaha70% ya waliokua wanaisifia PSG sasa hivi hawaonekani tutawaona tena second leg endapo Madrid atatolewa.
[emoji20][emoji20][emoji20]Madrid hachukui UEFA msimu huu, lakini hawezi kutolewa na PSG.