Real men dont buy Women/Sex

Real men dont buy Women/Sex

Kununua ngono!
Ni mwanamume ambaye anjua hafai kipendwa (not real man) ndie anayenunua ngono!

Wapendaji siku hizi wapo mkuu? sijaona ...... Mkono mtupu,,,,,,
 
I am just watching hii documentary ya Demi Moore kuhusu rescue ya wanawake wanaolazimishwa kuwa prostitutes in Nepal na India

It is a very strong and useful statement....I am just trying to define nini maana ya kununua ngono/au penzi
Kuhonga? kulipa changu? kuvizia barmaid na kumlipa pesa for sex? where does this end?.........

Aisee........:smow:

Kwa Wanaume: Kununua Ngono, ni udhaifu wa kisaikologia, kutojiamini na ukosefu wa muelekeo wa kijamii(Mara nyingi utapata watu hawa, wengi huwa hawana mawasiliano na wenzao, wabinafsi sana na huwa na undani sana(Introverts), hatari ya watu hawa, huweza hata kuua kwa kirahisi na wasitambuliwe.

Kwa Wanawake: Kuuza ngono, Mazingira ya walokulia watu hawa huchangia sana!, Uzembe na kukosa uajibikaji, ubinafsi!!, kujipendekeza sana. Mara nyingi watu hawa huwa na (psycological problem), utotoni walidhulumiwa na mambo kama hayo..
 
Tafauti ni kwenye need yenyewe. Usipo kunywa maji unakufa ila usipo do haufi. Pili, swala la ngono ni kitu intimate na swala la dignity. HAkiuzwi. Ni sawa na kumlipa mtu awe anakwambia kila saa: we ni bora kuliko bianadam wote. Moraly sio sawa hata kama huyo mtu anakubali kufanya hivo sababu katika human culture duniani kote hutakiwi kumwambia binadam hivo unless unamaanisha na wala sio sababu ya pesa.
Kukubali tendo la ndoa na mtu usie mpenda sio sawa moraly. Na mbaya zaidi kama unachukulia umasikini wake kumshawishi kwa hela ili afanye tendo la ndoa kwa kujipatia posho ni sawa na kumlazimisha (the pressure you exercise cannot be handled).

Kuna biashara za vitu kama almasi na madini mengine, havina need kama usipovipata utakufa, lakini vinauzwa na vinanunuliwa na ni biashara kama nyengine tu, kwa hiyo kuwa biashara lazima ihusiane na haja ya kufa au kutokufa haina mantiki.

Suala la ngono nakubali ni kitu intimate lakini nani ka define kuwa HAKIUZWI? Kwa nini kisiuzwe?

Unaposema sio sawa moraly ni kwa misingi ya moral za nani? nani kaweka?
 
Mwanamke anaejiuza ili apate pesa za kumpeleka mtoto wake shule na mwanamke anaelala na kila mwanamme bila ya pesa yoyote nani yupo sahihi morally?
Au nani ana afuweni morally baina ya hawa wawili?
 
I'm gonna be the Devil's advocate and say.........what's the difference of buying sex when you want sex and buying water when you are thirsty?
Thank you teacher... at least uko pande hii
 
Kwa Wanaume: Kununua Ngono, ni udhaifu wa kisaikologia, kutojiamini na ukosefu wa muelekeo wa kijamii(Mara nyingi utapata watu hawa, wengi huwa hawana mawasiliano na wenzao, wabinafsi sana na huwa na undani sana(Introverts), hatari ya watu hawa, huweza hata kuua kwa kirahisi na wasitambuliwe.

Kwa Wanawake: Kuuza ngono, Mazingira ya walokulia watu hawa huchangia sana!, Uzembe na kukosa uajibikaji, ubinafsi!!, kujipendekeza sana. Mara nyingi watu hawa huwa na (psycological problem), utotoni walidhulumiwa na mambo kama hayo..
kuuza ngono ni uvivu wa kufikiri na ukosefu wa kujithamini
 
Kuna biashara za vitu kama almasi na madini mengine, havina need kama usipovipata utakufa, lakini vinauzwa na vinanunuliwa na ni biashara kama nyengine tu, kwa hiyo kuwa biashara lazima ihusiane na haja ya kufa au kutokufa haina mantiki.

Suala la ngono nakubali ni kitu intimate lakini nani ka define kuwa HAKIUZWI? Kwa nini kisiuzwe?

Unaposema sio sawa moraly ni kwa misingi ya moral za nani? nani kaweka?

Mwalimu tukiingia kwenye Imani hapa tutakesha.
 
Hehehe ......nataka hili suala watu watumie fikra zao kujadili.

Mwanamke anaejiuza kwa ajili ya kulea watoto wake na anaegawa bure kwa wanaume yupi bora?

Na yule anaegawa kwa mwanamme kwa misingi ya kumchuna jee yupo katika kundi gani? Au yule anaejua kuwa anachunwa ili apewe penzi yupo wapi hapo?
 
By the same token; Real Women don't sale their bodies!
 
Hehehe ......nataka hili suala watu watumie fikra zao kujadili.

Mwanamke anaejiuza kwa ajili ya kulea watoto wake na anaegawa bure kwa wanaume yupi bora?

Na yule anaegawa kwa mwanamme kwa misingi ya kumchuna jee yupo katika kundi gani? Au yule anaejua kuwa anachunwa ili apewe penzi yupo wapi hapo?

hapo mwal Gaijin hakuna aliye bora...wote wako kundi hilo hilo tu..
 
]

Lakini anaenyooshewa kidole ni yule anaeuza kwa mapesa. Wakati kwa nchi za wenzetu walau wanalipa kodi 😀
 
I am just watching hii documentary ya Demi Moore kuhusu rescue ya wanawake wanaolazimishwa kuwa prostitutes in Nepal na India

It is a very strong and useful statement....I am just trying to define nini maana ya kununua ngono/au penzi
Kuhonga? kulipa changu? kuvizia barmaid na kumlipa pesa for sex? where does this end?.........

Aisee........:smow:
Mate: what about paying "sex expenses"...... is it buying?
 
Kuna biashara za vitu kama almasi na madini mengine, havina need kama usipovipata utakufa, lakini vinauzwa na vinanunuliwa na ni biashara kama nyengine tu, kwa hiyo kuwa biashara lazima ihusiane na haja ya kufa au kutokufa haina mantiki.

Suala la ngono nakubali ni kitu intimate lakini nani ka define kuwa HAKIUZWI? Kwa nini kisiuzwe?

Unaposema sio sawa moraly ni kwa misingi ya moral za nani? nani kaweka?

kweli kuna vitu sio muhimu kwa maisha ila vinauzwa lakini ni MORALY acceptable. na ndio maana kununua dhahabuni sawa ila Dhahabu ya conflict imeharamishwa.
Standards za ni kitu gani moral na kipi sio ziko katika Human Conscience. Kila mtu anazaliwa nacho na jamii zina sisitiza kwa kupanga rules za kitamaduni ao za kiserikali.
Kuuza na kununua penzi ni MORALY unnaceptable na ndio maana Dini, Mila na Sheria zinapinga biashara hiyo.
 
Sheria za scandinavia zinaruhusu kuuza sex, na kodi wanalipia

Sheria za Asia, zinaruhusu kuuza sex, na kodi inalipiwa vile vile.

Kwa hiyo hizo morals labda uzifunganishe na imani ya dini, lakini kunambia kuwa ni human conscience nitakataa.... kwa sababu kama ilivyokuwa kutembea uchi sasa tunaona ni immoral, enzi za babu wa babu watu walikuwa wakitembea uchi kabisa wala human conscience haikuwa ikiwaambia kuwa ni immoral
 
Hehehe ......nataka hili suala watu watumie fikra zao kujadili.

Mwanamke anaejiuza kwa ajili ya kulea watoto wake na anaegawa bure kwa wanaume yupi bora?

Na yule anaegawa kwa mwanamme kwa misingi ya kumchuna jee yupo katika kundi gani? Au yule anaejua kuwa anachunwa ili apewe penzi yupo wapi hapo?
can we do some research on this tuone ile personal value and respect inaland wapi?
 
wamepewa bure na wanagawa bure ila kinahitaji matunzo sana, na tunachotoa si kuhonga wala kununua tunachangia gharama za utunzaji ndo maana walioolewa wanatunzwa na waumezao je wale ambao bado nani awagharamikie? Ka sio wale wanaotumia?

mkuu kwani u.....b......ooooo. ungekuwa km penseli na wenyewe si ungekuwa umeisha siku nyingi kwa hiyo shughuli? na wenyewe unahitaji matunzo pia, UKIMWI UNAUA WANA JF.
 
Hehehe ......nataka hili suala watu watumie fikra zao kujadili.

Mwanamke anaejiuza kwa ajili ya kulea watoto wake na anaegawa bure kwa wanaume yupi bora?

Na yule anaegawa kwa mwanamme kwa misingi ya kumchuna jee yupo katika kundi gani? Au yule anaejua kuwa anachunwa ili apewe penzi yupo wapi hapo?

bora kuoa au kuolewa japo hilo neno la kuolewa hapo ni issue kwenu wakina dada. ukiwa ndani ya ndoa hayo yote utapewa kwa ziada, teh teh teh teh! UKIMWI UNAMALIZA VIJANA.
 
Back
Top Bottom