Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
- Thread starter
-
- #21
Write like a man.Acha kumbwel mbwela. Toa facts
Tunajua marekani ingharamia karibu huduma zote za VVU Tanzania. Ina missa mimgine mingi katika masual ya elimu na kilimo na demokrasia.
Kama vile Russia anavyosaidiwa na Hungary, Belarus , Iran na North Korea basi ni haki kwa Ukraine kusaidiwa na NATO na USWewe bado premature. Endelea kujifunza.
Ila wenzio NATO Wala hawalalamiki kama unavyolalamika wewe maana wanajua wameenda nje ya makubaliano,na Kama Unadhani Ukraine ndiyo sababu ya Vita basi upo slow Sana kuelewa mwelekeo wa Dunia. Vita Ni ya Russia vs NATO & USA,Ukraine ni yule mtoto aliyetangulizwa mbele ili akamguse mbabe alafu yule mbabe akireact na kurudisha mapigo wahuni walioficha silaha zao nyuma ndiyo wanapata sababu ya kumtwanga yule mbabe. Propaganda za West zimewadhoofisha sana akili.
Ni kama umepanic!!Write like a man.
Hata Putin hawezi kusoma huu uandishi.
Go and dig deeper. There is no war in Ukraine.Kama vile Russia anavyosaidiwa na Hungary, Belarus , Iran na North Korea basi ni haki kwa Ukraine kusaidiwa na NATO na US
Again, write like a man.Ni kama umepanic!!
Una mbwela mbela
So what is in Ukraine??Go and dig deeper. There is no war in Ukraine.
Unajibu kama shoga sasaAgain, write like a man.