- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣Gwaji boyMtu mdini na muongo muongo kama gwaji boy hawezi kuwa Rais wa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Gwaji boyMtu mdini na muongo muongo kama gwaji boy hawezi kuwa Rais wa Tanzania
🤣🤣🤣Usitoe siri
NyerereKigezo cha 1 ni cha kipumbavu.
Namba Moja ni kwaajili ya Popular Vote
- No. 1: haina mashiko yoyote
- No. 3: trying to look for such a person (especially in ccm), is like looking for a virgin in a labour ward.
- No. 6&7: Every animal (hasa bin Adam) is naturally selfish to varying degrees.
essei100 ndio nani?Haujajibu Swali bado ukimuondoa esei100 nani anaefaa kukalia kile kiti cha Moto?
🤣🤣🤣🤣Huyu labda tumtoe nje ya nchi aje kama mwekezaji
Awe pia msomi asietia shaka yoyote kuhusu elimu yakeLeo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.
Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 bado naiona CCM ikiendelea kushikilia nafasi ya Urais wa JMT,
Pili, Kwa mila, desturi na mazoea ya CCM Rais lazima ahudumu kwa vipindi viwili vya miaka mitano Kila kimoja hivyo ni kweli kwambà Mgombea wa Urais mwaka 2025 atakuwa Dkt Samia Suluhu.
Tatu, Uwezekano wa mgombea toka CHADEMA kumrithi Rais Samia 2025 kwa hakika ni mdogo japo kwenye Siasa lolote laweza kutokea popote na kwa yoyote.
-------------------------------------
FURSA PEKEE YA RAIS MPYA KWA VYAMA VYOTE IKO KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2030.
-------------------------------------
Je, Rais wa mwaka 2030 anatakiwa kuwa na Sifa gani za ziada?
1. Awe ni Mkristo nzuri zaidi atoke Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
2. Awe na umri wa miaka isiyozidi 50 wala kupungua miaka 45.
3. Awe ni mtu ambaye hajawahi kuhusishwa na rushwa wala Ufisadi katika maisha yake ya kisiasa.
4. Awe na Uraia usiozua mashaka juu ya hatma ya nchi baada ya yeye kuwa amiri jeshi mkuu.
5. Awe na uelewa wa jumla wa kutosha juu ya Tanzania na maswala mbalimbali ya dunia.
6. Awe na Uzalendo kwa Taifa lake lakini awe analipenda Taifa kuliko Chama chake anachotoka.
7. Asiwe mdini Wala mkabila lakini afahamu kuwa Tanzania haina dini ila watu wake.
Note, Kila anayedhani anafaa kuwa Mrithi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan apitie hizi Sifa kama hana afanye mambo mengine.
Submited with thanks to all
Kuna mwanasiasa mkweli ?Mtu mdini na muongo muongo kama gwaji boy hawezi kuwa Rais wa Tanzania
Wapi wengi sanaKuna mwanasiasa mkweli ?
Ngoja tuoneRiz moko... asikosekane kwenye list...!
Chura Kiziwi_essei100 ndio nani?
Uko sahihi kabisa nimeiweka hii piaAwe pia msomi asietia shaka yoyote kuhusu elimu yake
SawaLeo na mimi kwa ufupi sana nifanye recapitulating ya hii hoja ya Mrithi wa Rais Dkt Samia Suluh Hassan mwaka 2025 au 2030.
Kwanza, Kwa mazingira yalivyo Sasa na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 bado naiona CCM ikiendelea kushikilia nafasi ya Urais wa JMT,
Pili, Kwa mila, desturi na mazoea ya CCM Rais lazima ahudumu kwa vipindi viwili vya miaka mitano Kila kimoja hivyo ni kweli kwambà Mgombea wa Urais mwaka 2025 atakuwa Dkt Samia Suluhu.
Tatu, Uwezekano wa mgombea toka CHADEMA kumrithi Rais Samia 2025 kwa hakika ni mdogo japo kwenye Siasa lolote laweza kutokea popote na kwa yoyote.
-------------------------------------
FURSA PEKEE YA RAIS MPYA KWA VYAMA VYOTE IKO KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2030.
-------------------------------------
Je, Rais wa mwaka 2030 anatakiwa kuwa na Sifa gani za ziada?
1. Awe ni Mkristo itapendeza zaidi akitoka Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
2. Awe na umri wa miaka isiyozidi 50 wala kupungua miaka 45.
3. Awe ni mtu ambaye hajawahi kuhusishwa na rushwa wala Ufisadi katika maisha yake ya kisiasa.
4. Awe na Uraia usiozua mashaka juu ya hatma ya nchi baada ya yeye kuwa amiri jeshi mkuu.
5. Awe na uelewa wa jumla wa kutosha juu ya Tanzania na maswala mbalimbali ya dunia.
6. Awe na Uzalendo kwa Taifa lake lakini awe analipenda Taifa kuliko Chama chake anachotoka.
7. Asiwe mdini Wala mkabila lakini afahamu kuwa Tanzania haina dini ila watu wake.
Note, Kila anayedhani anafaa kuwa Mrithi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan apitie hizi Sifa kama hana afanye mambo mengine.
Submited with thanks to all
Nikipige hesabu namuona Samia akiachia urais mwaka 2025 na January Makamba kuwa Rais hadi 2035.
Makamba kupelekwa Mambo ya nje, rumors za Samia kutogombea zilizotokea mwanzo wa utawala wake, maslahi ya watoto wa mjini huko mbele yako mikononi mwa Makamba.Unatumia formula gani katika mahesabu yako?