Pre GE2025 Recap: Mrithi wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
  • No. 1: haina mashiko yoyote
  • No. 3: trying to look for such a person (especially in ccm), is like looking for a virgin in a labour ward.
  • No. 6&7: Every animal (hasa bin Adam) is naturally selfish to varying degrees.
Namba Moja ni kwaajili ya Popular Vote
 
Awe pia msomi asietia shaka yoyote kuhusu elimu yake
 
Joined yesterday,,,, katumwa kupiga kampeniiii 😀😀😀😀
 
Jenga hoja acha vihoja YONASHA
Kama tunataka rais mtendaji na mwenye kiu ya kuacha legacy nzuri…..tumpe Paul makonda….
Hata kama inaonekana ni mtu wa mihemko na sio mtu makini ila anaweza kusimamia serikali na watendaji wake wakafanya vizuri….
🤓
 
Sawa
 
Unatumia formula gani katika mahesabu yako?
Makamba kupelekwa Mambo ya nje, rumors za Samia kutogombea zilizotokea mwanzo wa utawala wake, maslahi ya watoto wa mjini huko mbele yako mikononi mwa Makamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…