Recap: Ni kosa la kiufundi CHADEMA kumchagua Freeman Mbowe ambae tayari ni mjumbe wa Kamati kuu mpaka kufa na kumuacha Tundu Lissu bila cheo chochote

"Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama"
 
Sahihi hii
 
Mbowe hafai hata kuwa mjumbe wa kamati kuu
 
Tatzo bei ya mkaa. Tatizo maslahi ruzuku miamala
 
Huo ujumbe wa kamati kuu utamruhusu kupokea ruzukub kwneye akaunti yake binafsi?
Kwa maana saiv mbowe anachopambania ni ruzuku kwa ajili ya maisha yake ya uzeeni.
 
Ni kweli wajumbe wawe makini
 
Iwafikie wajumbe wote hii
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…