Kwa wale msiojua Rais wa Turkey Recep Tayyip Erdoğan ni Islamist kindakindaki.
Kwa sasa Rais huyo kupitia chama chake cha Adalet ve Kalkınma Partisi, (AK Parti) ni muumini mkubwa wa Muslim brotherhood na hapo ndipo wanapokutana na Serikali ya Qatar ambayo ndiyo mfadhili mkubwa wa mbinu zote chafu za Muslim brotherhood huko nchi za magharibi.
Kuangushwa kwa Bashar al-Assad kumempa taamaa zaidi Edogan kuwa anaweza kupanua utawala wake hadi kufikia mipaka ya Israel.
Hata askari wake wamethubutu kusema tuliichukua Hagia Sofia ( ndani ya Uturuki) sasa tumeichukua Ummayya ya Syria na tutamalizia na Al Aqsa na Jerusalem.
Vile vile yeye Edogan mwenyewe ameapa kuwaangamiza Wakurdi ndani ya Syria.
Asichojua ni kwamba hao Muslim brotherhood anaojifungamanisha nao pia wanahatarisha tawala za Saudia Egypt, Jordan na UAE.
Halafu hiyo Israel anayoikamia kuiangamiza toka kuanza kuwekwa kumbukumbu ya historia hakuna Taifa lilifanikiwa kuwafutilia mbali.
Mwaka wa 1948 wakati Israel haina hata siku moja toka ijitawale na wala hawakuwa na jeshi lenye zana za kivita kihivyo, mataifa ya kiarabu matano yalipigwa.
Katika vita inayoendelea Iran ikiwa na proxies wake kusini, kaskazini na mashariki tena wakiwa na makombora mazito imegonga mwamba.
Na kwa bahati mbaya kule Marekani utawala uliokuwepo ( Democrat) ni ule ambao hauwaungi mkono kihivyo Israel.
Kwa sasa yupo mwamba ambaye hapepesi macho inapokuja kuiunga mkono Israel.
Edogan na ndoto zake za Ottoman Empire anakwenda kupotelea mbali