Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hivi Hoyce kashindwa kum keep mdogo ake? Na km kaolewa na mtumishi wa UN huyu Rachel anashindwa vipi kumaintan status ya mumewe km mke,
Uswahili gani wa kupitiliza hivyo, Anaboa sana, khaaaah.
Ila matusi huyu dada Woiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]