Recho Temu akamatwa Kenya

Hapana labda wewe!
Ndio matako ni yangu kwani wewe una nini?
Wewe bwege sana aisee!
Hukunielewa nilivyo kueleza kwa hiyo hata niki kueleza tena ni waste of my time walahi [emoji35]
[emoji1645] nut case [emoji35]
Una hasira za kishamba. Out of topic, unatokea kolomije au chato?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka niseme hivyo huyu Rachel sio mzima kichwan.
 
Uzi umejaa chuki dhidi ya mwanadamu temu
 
Huyo recho temu Alikua akijishughulisha na nn mpk kufikia kukosana na mamlaka?
 
This time ataonja ladha ya jela,ameshafika mlangoni tayari,asubiri kuliwa na maafande jela.
 
Hii mitandao imewafanya watu wamekuwa wajinga....
Sasa mtu kutukana watu mitandaoni ndiyo aliona kazi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…