Recho Temu amdharau Askofu

Sijui amesemaje ila kama kuna ukweli namuunga mkono. Viongozi wa kanisa kuna baadhi mienendo yao sio mizuri.
 
Hayo matusi yako wapii??
Hayo mabiff yao huko mtandaoni wanajuana hao ndo maana wakishtakiana ni siku moja tu recho yuko nje. Hayo wala usiyaingilie.

Ni mimi chawa wa hiyari wa recho.
 
Hayo matusi yako wapii??
Hayo mabiff yao huko mtandaoni wanajuana hao ndo maana wakishtakiana ni siku moja tu recho yuko nje. Hayo wala usiyaingilie.

Ni mimi chawa wa hiyari wa recho.
Unamaanisha Recho na Askofu wana bifu na wanajuana?
 
Kinacho nichosha Mimi ni kusema wasinywe pombe Kali,kwanini isisemwe wasinywe pombe kabisa.

Unywaji WA pombe WA namna yoyote haufai kiafya na Kwa mafundisho ya dini pia,kwanini tunaogopa kukemea kabisa haya maswala
 
Nachoona hapo kila mmoja ameathirika kwa imani yake kuhusu pombe.

Baba Askofu haipendi pombe kwasababu anayajua madhara yake.

Huyo Rachel anaipenda pombe licha ya kuambiwa madhara yake, huyo ni kumuacha tu, asiyefunzwa na mamaye....
 
Ni maoni yake, ni msimamo wake.

Ni vizuri Askofu Shoo ajue maoni ya watu wake.

Kwa Mungu iko hivi πŸ‘‡

Mathayo 13:30 NEN​

Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja mpaka wakati wa mavuno. Wakati huo nitawaambia wavunaji wayakusanye magugu kwanza, wayafunge matita matita ili yachomwe moto; kisha wakusanye ngano na kuileta ghalani mwangu.’ ”
 
Kinacho nichosha Mimi ni kusema wasinywe pombe Kali,kwanini isisemwe wasinywe pombe kabisa.

Unywaji WA pombe WA namna yoyote haufai kiafya na Kwa mafundisho ya dini pia,kwanini tunaogopa kukemea kabisa haya maswala
Unampinga Allah alivyosifia pombe kali?

Koran 16:67 And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason
 
Unampinga Allah alivyosifia pombe kali?

Koran 16:67 And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason

Kuna Jambo moja naomba nikufahamishe ndugu yangu

Ni kweli pombe ilikuwepo kabla ya ilinywewa Sana Tu, baadae amri ya kuacha pombe ililetwa na hatimaye pombe kuharamishwa kabisa.
 
We ni mchochezi pia huwezi kuanzisha Uzi wa kumsengenya mtu huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…