scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
sioni shida hata hayo ni majibu ya kawaida kwa aina ya mtu kama yeye,sasa hata ungekuwa polisi utamchukulia hatua gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha Recho na Askofu wana bifu na wanajuana?Hayo matusi yako wapii??
Hayo mabiff yao huko mtandaoni wanajuana hao ndo maana wakishtakiana ni siku moja tu recho yuko nje. Hayo wala usiyaingilie.
Ni mimi chawa wa hiyari wa recho.
Sasa hapo kwa askofu mbona recho hajaandika jambo baya? Ni maoni tu.Unamaanisha Recho na Askofu wana bifu na wanajuana?
Unampinga Allah alivyosifia pombe kali?Kinacho nichosha Mimi ni kusema wasinywe pombe Kali,kwanini isisemwe wasinywe pombe kabisa.
Unywaji WA pombe WA namna yoyote haufai kiafya na Kwa mafundisho ya dini pia,kwanini tunaogopa kukemea kabisa haya maswala
Unampinga Allah alivyosifia pombe kali?
Koran 16:67 And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason