proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Upo NumbisaVita vya kaskazini hivyo inaonekana mleta mada ni wa huko pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo NumbisaVita vya kaskazini hivyo inaonekana mleta mada ni wa huko pia
Sijaona kosa lolote kwenye uandishi wa bi rechoMbona Recho katumia uhuru wake wa kikatiba wa kujieleza tu hapo?
Upo Numbisa
Kweli ganja ni dawa, you nailed it my friend [emoji419][emoji419]Alichokiongea askofu ni sawa hajakosea
Na Recho ni sawa pia hajakosea
Kila mmoja yupo sahihi kutokana na nafasi zao kwenye jamii
Hapendi pombe yenye alcohol kubwa 40%+ inamaana chini ya hapo ruksaNachoona hapo kila mmoja ameathirika kwa imani yake kuhusu pombe.
Baba Askofu haipendi pombe kwasababu anayajua madhara yake.
Huyo Rachel anaipenda pombe licha ya kuambiwa madhara yake, huyo ni kumuacha tu, asiyefunzwa na mamaye....
Jamii yetu kuna watu wengi wana nidhamu ya woga na hawajui kuheshimu uhuru wa mtu binafsi.Sijaona kosa lolote kwenye uandishi wa bi recho
Kaongea Kwa mihemko lakini hakuna tusi apoTukiwa tumetoka kusherehekea kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo wa Nazareti, Tunasherehekea mwanzo wa Safari ya ukombozi wetu.
Yesu ametufunza upendo na heshima kwa viongozi wetu, Kiimani mimi mi Mkristo wa kanisa la Kilutheri. Ninaheshimu misingi na Miongozo ya kanisa langu.
Leo nimepita katika Mitandao ya kijamii kuperuzi na kuona yale yanayoendelea Duniani nilikutana na Taarifa kutoka katika mtandao wa Zamampya ambayo ilikua ikitoa habari aliyotoa Askofu wangu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Tanzania Askofu Shoo akiwasihi vijana kuhusu kupunguza kunywa pombe.
Kwangu mimi taarifa hii ni faraja kubwa na ni Tiba kwetu vijana kutoka katika kinywa chenye hekima kwa kanisa. Kilichonifanya niandike andiko hili ni Majibu ya Binti asiye na nidhamu katika nchi hii, Binti aliyeshindikana na kila mtu, Binti ambaye mpaka sasa haijulikani ni viongozi gani wamlinda asiguswe kwa huku akiendelea kudhalilisha watu.
Kumekua na majalada kadhaa yanayomuhusu kwa kudhalilisha watu mbalimbali na hakuna hatua yeyote imechukiliwa dhidi yake. Leo Ameenda katika habari yw kumuhusu Askofu na kuandika maneno mabaya na ya kuvunja heshima kwa kiongozi wetu wa Kiroho.
Unapomdharau Askofu ni Umedharau Kanisa, Unapolidharau kanisa ni umedharau waumini wake. Nichukue nafasi hii kuwasihi watu na watumiaji wa mitandao, Kuheshimu viongozi wetu wa dini nila kujali ni wa Dini gani ili mradi amekua kiongozi wa imani ya watu basi waheshimiwe.
Pia nichukue nafasi hii kuvisihi vyombo vya usalama kuchukua hatua ya haraka kwa huyu Rachel Temu kabla hajaafanya kubwa zaidi ya hilo.
Inahitajika hatua za haraka kuweza kudhibiti hili la huyu binti na wengine wenye Tabia kama yake.
Tutalia madhabahuni, na kumlilia Mungu, Kama hatochukiliwa hatua basi Mungu ataamua Hatma ya kinywa kisicho na hekima kwa kiongozi wa Dini.
Mwanakondoo Amezaliwa leoView attachment 2459311