Ni rahisi kupata ubunge Tz kuliko kuona Comment yako.Hahaha...nitajitahidi mkuu!
Gotham city - R-kelly
Rosalina rmx - BM ft awilo longomba
Rora - Reekado banks
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamshusha hadhi mnyamajakitoo hiyo profile pic uloiweka umenivunja mbavu zangu sana
hizo ni dharau kwa hicho kinywaji,unatufundisha nini sisi tunaokunywa kwenye glass?
Naomba best songs zako unazozipenda
Ok usiwazeUtakazoweza kuandika
Ahsante sana nitazipakua nizisikilize..4 U
jakitoo hiyo profile pic uloiweka umenivunja mbavu zangu sana
hizo ni dharau kwa hicho kinywaji,unatufundisha nini sisi tunaokunywa kwenye glass?
Aisee mwenye wimbo wake "mamu" katutoka. R.I.P Meja kunta.Kuna singeli nyingine inaitwa Kua uyaone by Dogo niga simela. Ni nzuri sana..naipenda