Recommended Engine Oil for Suzuki Grand Escudo 2.7

Recommended Engine Oil for Suzuki Grand Escudo 2.7

Wakuu nimenunua Suzuki Grand Escudo, imetembea 140,000kms nataka kuifanyia service niweke Engine Oil ya Code Gani 10w-30, 5w-40, 5w-30?
Fuata recommendations za ma-giants wa maswala ya oil duniani-zamani tulikuwa tunafuata sana classifications za SAE-USA, ila kwa sasa kwa generation tuliyopo recommendations za API-American Petroleum Institutes zinapendelewa kwa sababu ziko up to date,andika mwaka wa gari, engine model and etc watakupa oil sahihi ya gari lako.Zingatia pia recommendation za manufacturer.
 
Oil-change-in-Orlando.jpg
 
Back
Top Bottom