RECORD: Jumla ya Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan moja kwaaji ya Saratani zimenunuliwa ndani ya miaka minne tu

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,157
Reaction score
5,451
Rais Samia anunua Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan kama msingi wa Dira2050.

Rais Samia katika kuimarisha kwa upatikanaji wa dawa, vifaa, vifaa tiba, na vitendanishi ambapo upatikanaji wa dawa umeongezeka kutoka asilimia 73 hadi asilimia 86; kuongeza mitambo ya uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI kutoka nne (4) hadi 13 , CT-Scans kutoka 12 hadi 45, Digital X Rays kutoka 73 hadi 491; na ununuzi wa PET Scan kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya saratani.
 
Katoa pesa zake mfukoni?

Nyie ndo mnaomharibu Rais kwa kumtaja hata pasipostahili.

Kwa mtindo huu tukisema Rais katoa pesa kafanya hiki maana yake hata deni tusiliite la nchi tuseme deni limekua sana kwa sababu Rais amekopa sana
 
Katoa pesa zake mfukoni?

Nyie ndo mnaomharibu Rais kwa kumtaja hata pasipostahili.

Kwa mtindo huu tukisema Rais katoa pesa kafanya hiki maana yake hata deni tusiliite la nchi tuseme deni limekua sana kwa sababu Rais amekopa sana
Rais ndio kila kitu chake Kwa katiba yetu, akifanya mabaya yake akifanya mazuri pia yake
 
Acha ujinga.
How much does a MRI machine cost?




For MRI machine pricing you can expect to pay anywhere from $100,000 for entry-level machines and upwards of $450,000 for premium models.

Rudi kwenye Mabilioni yaliyopotea kupitia ripoti ya CAG, halafu useme hizi mashine zingenunuliwa ngapi?
 
Kwenye afya awamu ya sita imefanya vizuri. Emergency departments zimejengwa kwenye hospitali nyingi za wilaya na mikoa. Hii ni hatua kubwa katika kuzijengea hospitali zetu uwezo wa kuokoa maisha ya wananchi wetu.
 
Huku huwezi wakuta ila kwenye mambo ya upuuzi Sasa mdomo kama nguruwe ameona mavi
 
Utakuta zimenunuliwa hewa, au zimelipiwa Mara 10 ya thamani yake na zingine mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…