RECORD: Jumla ya Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan moja kwaaji ya Saratani zimenunuliwa ndani ya miaka minne tu

kazi nzuri
 
haika nirekodi
 
Ivi mnajua hizo X ray na CT ndiovyanzo vya saratani fwatilieni mjue kipi nikizuri?
Msije mkajikuta mnatumia kianzilishi Cha matatizo kutibu tatizo

Nibora mngewekeza kwenye MRI ambayo nisalama
 
Serkali ya awamu ya sita inawajali sana wananchi wake
 
Ivi mnajua hizo X ray na CT ndiovyanzo vya saratani fwatilieni mjue kipi nikizuri?
Msije mkajikuta mnatumia kianzilishi Cha matatizo kutibu tatizo

Nibora mngewekeza kwenye MRI ambayo nisalama
utafiti wako umeufanya wapi?
 
Sawa mkuu
 
Hongera sana TANZANIA
 
Rais Samia hata kama angegombea Uganda au kenya uchaguzi angeushinda lazima'

anakubalika sana ,


anamaono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…