Tupe ukweli..!Uongo
Tuliza Busha hiloMnatuiga tuu simba ni wabunifu kuliko nyie utopolo
Why usifikilie kupeleka mlima
Everest
Somo lishafunguliwaCha ajabu wengine mwanzo wa msimu baada ya kumshusha Pa omarry wa Njombe wakatia ronya la mtumba mlimani, huku tunawacheki tu [emoji1] Mwisho wa msimu wanaume tunaondoka na Kombe alafu tunawaonyesha vitu vya maana vinavyotakiwa kupelekwa kileleni [emoji1] Ila Hersi [emoji119]
Kibegi [emoji23]Kombe la koloView attachment 3004836