Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cha ajabu wengine mwanzo wa msimu baada ya kumshusha Pa omarry wa Njombe wakatia ronya la mtumba mlimani, huku tunawacheki tu 😄 Mwisho wa msimu wanaume tunaondoka na Kombe alafu tunawaonyesha vitu vya maana vinavyotakiwa kupelekwa kileleni 😄 Ila Hersi 🙌
Kibegi kimeshafika huko Mlimani. Pia tulipeleka Whatsapp channel yetu huko mlimani bila kusahau tulipomsajili Manzoki, tulimpeleka mlimani.Tupe ukweli..!
Ubunifu gani Nguruwe FC walifanya?Mnatuiga tuu simba ni wabunifu kuliko nyie utopolo
Why usifikilie kupeleka mlima
Everest
Mwaka gan mlipeleka jezi huko?Ubunifu gani Nguruwe FC walifanya?
Kama ni jezi Utopolo ndio waliokuwa wa kwanza kupeleka jezi kwenye kilele cha mlima Killimanjaro
Tutaenda tu hivyo hivyoAtakufa kule mkuu
Nafikiri simba hawakupeleka tu bali walizindua jezi mlimani.Ubunifu gani Nguruwe FC walifanya?
Kama ni jezi Utopolo ndio waliokuwa wa kwanza kupeleka jezi kwenye kilele cha mlima Killimanjaro
Hongera kwetuKombe la kwanza kufikishwa kwenye kilele Cha mlima mrefu zaidi Africa mlima Kilimanjaro na mabingwa wa kihistoria ..,..mabingwa wa mara 30 Young Africans
Cc😛rivaldinho
NB: wengine walipeleka kibegi..... wengine wamepeleka kombe[emoji23][emoji91][emoji91]View attachment 3004819
Hakuna TIJA YOYOTE NI KUIGA TU KWA KUWA SIMBA ALIENDA MLIMA KILIMANJARO NA YANGA KAIGA ACHENI USHAMBAKombe la kwanza kufikishwa kwenye kilele Cha mlima mrefu zaidi Africa mlima Kilimanjaro na mabingwa wa kihistoria ..,..mabingwa wa mara 30 Young Africans
Cc😛rivaldinho
NB: wengine walipeleka kibegi..... wengine wamepeleka kombe[emoji23][emoji91][emoji91]View attachment 3004819
Mjomba hapa kinachoongelewa ni timu kama timu kupeleka kitu huko mlimani, hao waliopeleka Jezi za yanga walikuwa ni mashabiki tu na hata wa simba wamewahi kufanya hivyo, kwenye hili mkubali tu mmeiga ndio maana mnasingizia eti mmepeleka kitu cha maana 🤣🤣Ubunifu gani Nguruwe FC walifanya?
Kama ni jezi Utopolo ndio waliokuwa wa kwanza kupeleka jezi kwenye kilele cha mlima Killimanjaro
Sasa maumivu yangu unayafilije wewe...acha uzwazwa..I feel maumivu unayopitia[emoji23]