Record: Yanga yawa timu ya kwanza kufikisha kombe mlima Kilimanjaro

Record: Yanga yawa timu ya kwanza kufikisha kombe mlima Kilimanjaro

Hata simba wamefikishwa kileleni, Bao tano si mchezo,

Hapo miaka ya 90 alipigwa bao nne kipindi cha kwanza akakimbia, angerudi angekula hata 9
Walipoteana kabisa
 
Cha ajabu wengine mwanzo wa msimu baada ya kumshusha Pa omarry wa Njombe wakatia ronya la mtumba mlimani, huku tunawacheki tu 😄 Mwisho wa msimu wanaume tunaondoka na Kombe alafu tunawaonyesha vitu vya maana vinavyotakiwa kupelekwa kileleni 😄 Ila Hersi 🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya ni matusi kabisa.
 
Ubunifu gani Nguruwe FC walifanya?

Kama ni jezi Utopolo ndio waliokuwa wa kwanza kupeleka jezi kwenye kilele cha mlima Killimanjaro
Nafikiri simba hawakupeleka tu bali walizindua jezi mlimani.
 
Kombe la kwanza kufikishwa kwenye kilele Cha mlima mrefu zaidi Africa mlima Kilimanjaro na mabingwa wa kihistoria ..,..mabingwa wa mara 30 Young Africans
Cc😛rivaldinho

NB: wengine walipeleka kibegi..... wengine wamepeleka kombe[emoji23][emoji91][emoji91]View attachment 3004819
Hakuna TIJA YOYOTE NI KUIGA TU KWA KUWA SIMBA ALIENDA MLIMA KILIMANJARO NA YANGA KAIGA ACHENI USHAMBA
 
Ubunifu gani Nguruwe FC walifanya?

Kama ni jezi Utopolo ndio waliokuwa wa kwanza kupeleka jezi kwenye kilele cha mlima Killimanjaro
Mjomba hapa kinachoongelewa ni timu kama timu kupeleka kitu huko mlimani, hao waliopeleka Jezi za yanga walikuwa ni mashabiki tu na hata wa simba wamewahi kufanya hivyo, kwenye hili mkubali tu mmeiga ndio maana mnasingizia eti mmepeleka kitu cha maana 🤣🤣
 
Back
Top Bottom