Record za kocha Nabi kimataifa zinatia mashaka

Record za kocha Nabi kimataifa zinatia mashaka

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Habari za weekend wakuu,

Mashabiki wa yanga poleni sana ndo mpira na wale wa simba msishangilie sana maana kesho lolote linaweza kutokea pale taifa mungu atupe afya njema tufike tushuhudie siku hyo adhimu kutoka kwa wana lunyasi.

Ikiwa imepita siku moja toka vijana kutoka kwa Idi Amini waitie doa siku ya mwananchi ila Kocha mkuu wa yanga a.k.a professor takwimu zake zinatia mashaka sana akiwa na team ya yanga kwani amecheza michezo mitano ya kimataifa akiwa kocha mkuu wa yanga hajashinda hata mechi moja zaidi ya kuambulia droo na vipigo.

Mara ya mwisho yanga kushinda mechi ya kimataifa hata ya kirafiki ni mwaka 2009 toka hapo ni mateso tu kwa wananchi angalia records za yanga hapa chini:–



[emoji1241] 1-3 Township rollers [emoji1052]

Township rollers [emoji1052] 1-1 Yanga [emoji1241]

ZESCO [emoji1268] 2-0 Yanga [emoji1241]

Yanga [emoji1241] 2-2 ZESCO [emoji1268]

Yanga [emoji1241] 1-2 Pyramids FC [emoji1093]

Pyramids FC [emoji1093] 3-0 Yanga [emoji1241]

Yanga [emoji1241] 0-1 Rivers United [emoji1184]

Rivers United [emoji1184] 1-0 Yanga [emoji1241]

Yanga [emoji1241] 1-2 Zanaco [emoji1268]

Yanga [emoji1241] 1-1 Atlabara [emoji1223]

Yanga [emoji1241] 0-2 Express [emoji1254]

Yanga [emoji1241] 0-0 Somalia U18 [emoji1220]

Yanga [emoji1241] 0-2 Vipers FC [emoji1254]

NB: KIMATAIFA SI KWA AJILI YA KILA MTU, WENGINE MKUBALI TU HUKU SIO UBAVU WENU NA NDOMAANA HATUCHEKI MAANA TUMEZOEA HALI YENU.
 
Tunasubiria uwakilishi wa Yanga kimataifa Club Bingwa. Let's wait and see.
 
Yaliyopita si ndwele tunaganga yajayo, ngoja tuone atakayetolewa mapema safari hii tuko apa
 
NABIL alikuwa kocha mechi zote hizo za yanga ?
Hapana alianza kwenye mechi na zanaco mkala 2-1
Mkapigwa dar2lagos na rivers united
Mkadraw na somalia U18
 
Yaliyopita si ndwele tunaganga yajayo, ngoja tuone atakayetolewa mapema safari hii tuko apa
Kesho droo ikitoka team wanayocheza nayo inaweza ikaleta matumaini
 
NABI AMECHUKUA CONFEDERATION CUP MARA MOJA 2012.
 
Hizo ni takwimu za Nabi as a coach au za as a team Yanga au Nabi akiwa na Yanga?
 
Hizo ni takwimu za Nabi as a coach au za as a team Yanga au Nabi akiwa na Yanga?
Za yanga kiujumla ila nabi za kwake ni tano kutoka chini hajashinda hata mechi moja international
 
Nabi ni kocha mzuri aimalisha ball possesion katika midfiders. niliwahi kuomba Nabi tunamnadi ball possesion iimalike. wana yanga tutulie hii isitupe hasira ni mechi ya kujua nini tukifanye huko mbelenei.
 
Back
Top Bottom