Recover The Lost Memory: Kabla ya Kuishi hapa Duniani ulikuwa hai

Recover The Lost Memory: Kabla ya Kuishi hapa Duniani ulikuwa hai

Kwa sababu concentration kubwa ipo kwenye ulimwengu wa damu na nyama, mtu huyo baada ya kupata elimu (Education) atapata (Maarifa) Knowledge na baada ya kuitumia hiyo Knowledge -> atapata Skill (Ujuzi). Na baada ya kutumia Skill hiyo kwa muda atakata Experience (Uzoefu) na baada ya kutumia uzoefu huo kwa muda atapata Wisdom (Hekima).
Kuepuka kufanya makosa, yafaa kufafanua maana ya maneno.

Neno maarifa linatangulia maneno elimu, ujuzi, uzoefu na hekima, ukiacha hekima kutoka kwa Mungu.

Mambo kwa mfano, sayansi ya vitu, elimu kuhusu mtu, matukio, kutokufa kwa roho au nafsi, asili na uwepo wa Mungu, nadharia mbalimbali ni vitu vingi vya maarifa.

Kwa hiyo, maarifa ni tofauti na somo linalojulikana na kitu kinachojulikana.

Elimu sawa na ujuzi sawa na hekima ya binadamu, ni somo linalojulikana na kitu kinachojulikana.
 
Ndugu* unatakiwa uwe tayari kufundishwa. Hapa umeandika maandishi bila hata kueleweka ulichokuwa unataka kuongea. Nakusihi ukae utulie ili uweze kuandika katika mpangilio mzuri.

Kwa faida pana ya watu wengine:

1. Kila mtu anapozaliwa anakuwa na Ufahamu kwa kingereza tunasema Understanding

2. Baada kuwa na Understanding mtu huyo atakuwa tayari kupatiwa Elimu kwa kingereza tunasema Education

3. Atakapoienelewa education (Elimu) aliyopatia anapata Maarifa kwa kingereza tunasema Knowledge. Maarifa ni tunda la elimu. Huwezi ukapata maarifa pasipo kuwa na elimu.

4. Akianza kutumia Maarifa hayo anakuwa amepata Ujuzi kwa Kingereza tunasema Skill. Ujuzi ni tunda linalozaliwa kutokana na Maarifa.

5. Mtu akiutumia ujuzi huo kwa muda mrefu anapata kitu kinachoitwa Uzoefu kwa Kingereza tunaita Experience. Uzoefu ni tunda linalotoka na kutumiza ujuzi mara kwa mara.

6. Baada ya kuwa na Uzoefu kwa kitu hicho kwa muda mrefu na kukitumia kwa namna tofauti tofauti unapata Hekima kwa Kingereza tunaita Wisdom. Hekima ni tunda linalotokana na Uzoefu. Mtoto mdogo anaweza kufanya jambo akaonekana ametenda kwa namna bora. Hiyo siyo Hekima bali ni Busara.

Natumaini umepata kujifunza
 
Mimi hua najiuliza hivi sisi binaadam tumeumbwa hapa duniani kwa sababu zipi?
Kuna jibu hua ni simpe watu wanapenda kulitumia kua sisi tuliumbwa tuwe watawala?!!!fine mbona sasa sisi sio watawala..na hatutawali km inavyosemekana. Maana hapa kuna viunbe kama majini vinatutesa baharini huko sisi ndo hatuna chetu zaidi ya kupata kitoweo hapa ardhini sisi ndo waharibifu no moja wa mazingira kuliko kiumbe chochote???
Please mwenye jibu aninjibu ..
Nini maksudi ya sisi kuumbwa hapa duniani?
Hakuna anayejua , ukifikiria sana unaweza kupagawa bure
 
. Kila mtu anapozaliwa anakuwa na Ufahamu kwa kingereza tunasema Understanding

2. Baada kuwa na Understanding mtu huyo atakuwa tayari kupatiwa Elimu kwa kingereza tunasema Education
Nini kinatangulia kati ya maarifa, elimu, ujuzi, hekima na uzoefu? Kipi ni chanzo cha kingine na nini maana ya kila kimoja. That's my question.

Back to your comment.

Sio tu mtu hata wanyama wanapozaliwa wanakuwa na ufahamu.

Maana na tofauti ya elimu, ujuzi, uzoefu, hekima na maarifa ni hii:

Maarifa maana yake ni uwezo wa kufikiri na kufanya uchunguzi kujua ukweli na kujua kuleta vitu vipya kwa kutumia vitu vilivyopo.

Elimu maana yake ni tendo lenye athari ya kujenga akili, tabia na uwezo wa kimaumbile wa mtu.

Elimu anayofundishwa mtoto au mtu nyumbani au chuoni ni maarifa ambayo yaliletwa kupitia kufikiri na kufanya uchunguzi, kujua ukweli.

Aidha, mtu anaweza kutumia elimu aliyofundishwa au aliyojifunza katika kufikiri na kufanya uchunguzi, kujua ukweli na kujua kuumba vitu vipya kutokana na vitu vilivyopo, maarifa.

Ujuzi ni elimu ambayo mtu anajifunza au anafundishwa jinsi ya kufanya kazi fulani au kutoa huduma (know -how). It is a procedural knowledge. Then, it is a subject that is known and a thing that is known.

Hekima - hukumu - haki (wisdom) maana yake ni kujua kuamua bila kukosea. Lakini unawezaje kujua kuamua bila kukosea kama hujui ukweli? Na ukweli utaujuaje?

Uzoefu kwa wenyewe sio maarifa kwa sababu haubebi taarifa zote na unategemea vitu vingi kufikia ukweli.
 
Umeandika maneno meengi nje ya mada. Hebu acha kuchafua vitu visafi.
 
Umeandika maneno meengi nje ya mada. Hebu acha kuchafua vitu visafi.
Huwezi kutoa somo wakati hufafanui misamiati katika hicho unachoita somo.

Vinginevyo unahubiri hisia na uzoefu binafsi ambao ili kuuthibitisha kuwa ni kweli lazima tuangalie vitu vingi.

Umetaja ufahamu lakini hujafafanua ufahamu ni nini. Umetaja elimu hujafafanua elimu ni nini.

Umetaja ujuzi lakini hujafafanua ujuzi ni nini. Umetaja maarifa lakini hujafafanua maarifa ni nini, na uzoefu ni nini.

Umetaja Roho lakini hujafafanua roho ni nini, na nafsi ni nini.

Umetaja ndoto lakini hujasema ndoto ni nini na Lucid dreaming ni nini.

Umetaja ulimwengu lakini hujafafanua ulimwengu ni nini.

Umetaja ulimwengu wa nyama na damu lakini hujafafanua ni nini na ulimwengu wa roho ni nini.

Katika hayo yote unasema unatoa elimu au unafundisha somo! Somo gani unafundisha?
 
Mimi huwa najiuliza msingi wa mwanadamu Unaendeshwa kwa matumaini au akili? vile naona watu wengi wakikosa matumaini hujiua au kujizuru kwa kutumia vilevi nk. Wewe mtoa maada unaonaje hili?
Apo kwenye matumaini(HOPE) mkuu

Mafundisho ya kidini yanatupa matumaini kwamba there is life after death. Vyema sana kuamini na imani ndo inatupa matumaini.
 
Nature ya uwepo wetu ipo complicated sana , mengi yatabaki kuwa mystery ni kama tupo kwenye testing enviroment hivi na mtu anatuangalia tu tunavyohangaika

Kuna mengi sana hata sayansi inashindwa kuyaelezea na pia hakuna kinachoanza from nothing also hakuna anayeweza kuelezea nini kilikuwepo kabla ya big bang na mengine mengi

Na ulimwengu huu wa majini ambao wanatumia watu kama vessels kuzungumza au kupata access tu na dunia yetu (hii nimeshuhudia mara kadhaa na baadhi ya vitu watajibu mengine wenyewe nao hawajui wanaamin kuna higher power somewhere (god) lakini ni imani kama sisi wengine

Pia nimesahau na vile vitabu ambavyo vimekuwa excluded kwenye bible kama enock na jubilees vina mambo mengi kiasi cha kwamba jamaa alifanya tour kwa mungu na kuona operations zinavyoenda na kuzielezea in detail ikiwemo mungu mwenyewe anafananaje na wanaomzunguka
kweli kabisa tupo hapa Kama wajinga tu.!
 
Mimi hua najiuliza hivi sisi binaadam tumeumbwa hapa duniani kwa sababu zipi?
Kuna jibu hua ni simpe watu wanapenda kulitumia kua sisi tuliumbwa tuwe watawala?!!!fine mbona sasa sisi sio watawala..na hatutawali km inavyosemekana. Maana hapa kuna viunbe kama majini vinatutesa baharini huko sisi ndo hatuna chetu zaidi ya kupata kitoweo hapa ardhini sisi ndo waharibifu no moja wa mazingira kuliko kiumbe chochote???
Please mwenye jibu aninjibu ..
Nini maksudi ya sisi kuumbwa hapa duniani?
Kama yupo huyo muumba basi ana mambo yahovyo tu imagine kamuumba kuku ili akulwe yeye na mayai yake au swala akulwe na simba. mbona uonevu tu.! au nayeye ndo tabia yake.? hata haya mazingira unasema tunahalibu ni yeye kayata tu 😂 imagine tungekua na mbawa kusingekua nahaja yakutengeneza gari .! moshi waviwanda ungetoka wapi.?
 
🙄🙄🙄
 
UTANGULIZI​

Leo wana JF nimependa niweze kuwapa somo la kurejesha kumbukumbu. Nimekuwa nikifanya hivyo kwa muda wa miaka 15 sasa. Kuna baadhi ya kumbukumbu nimeweza kuzirejesha.

Somo langu la leo ni kuhusu sisi watu au kuhusu viumbe vilivyo na uhai.
Kwanza kabisa: Sisi watu tunaoishi hapa duniani tupo katika sehemu kuu mbili:-
  • Ulimwengu wa Damu na Nyama
  • Ulimwengu wa Roho
Uhalisia wetu ni ulimwengu wa Roho.
Na ulimwengu wa Roho umegawanyika katika sehemu kuu mbili:-
  • Nafsi
  • Roho
Leo nitagusi kidogo tu kuhusu Roho lakini nitajikita zaidi katika kuongelea Nafsi ili tuweze kujijua zaidi sisi. Sitaongelea sana kuhusu Ulimwengu wa Damu na Nyama maana kila siku tunauongelea na Sayansi na Dini zinauongelea kwa undani zaidi.

ULIMWENGU WA DAMU NA NYAMA​

Ulimwengu huu tumekuja kwa Temporary Existence kwa lengo kubwa la Soul browsing sites. Sasa ili nafsi iweze kupata hisia kwenye Ulimwengu wa Damu na Nyama ikatengeneza mwili ambao utakuwa kama medium of communication kati ya Ulimwengu wa Damu na Nyama na Mtu.

Ulimwengu wa damu na nyama upo na Elimu yake na Sisi tunajaribu kuuelezea kwa namna ya tunavyouona. Lakini kwa sasa katika somo hili sitaelezea sana kuhusu jambo hili.

ULIMWENGU WA ROHO​

Ulimwengu wa Roho ndio maisha yetu yalipo, ndio uhalisia wetu ulipo. Nafsi huwa inaenda kufanya exploration katika existence tofauti tofauti.

NAFSI NI NINI​

Tunapoongelea Nafsi tunaongelea mambo makuu matatu:
  • Ufahamu
  • Hisia
  • Utashi
Ufahamu: Ndilo eneo ambalo huwa linatumiwa na nafsi kwaajili ya kutunza kumbukumbu za mambo mbalimbali.

Na mimi katika mada hii nitaongelea sana kuhusu Ufahamu (Hisia na Utashi) nitaongelea siku nyingine. Maana leo ninataka kufundisha namna ya ku retrieve kumbukumbu zilizohifadhiwa kwenye ufahamu.

KABLA YA KUWEPO HAPA DUNIANI TULIKUWA TUNAISHI​

Kama nilivyoeleza hapo awali kuwa hapa katika ulimwengu wa damu na nyama tupo kwaajili ya kupata exposure of Existence na tukimaliza kufanya kazi katika huu ulimwengu tutaenda katika ulimwengu mwingine au tunaweza kurudi katika ulimwengu huu.

Kumbukumbu zetu zinakuwa zimehifadhiwa katika ufahamu

KWANINI TUNASHIDWA KUPATA KUMBUKUMBU ZA YALE TULIYOPITIA?​

Kwanza tunatakiwa tuelewe. Mtu anapozaliwa hapa duniani tayari anakuwa yupo na Ufahamu,
Baadae inapoanza udadisi anakuwa anajifunza vitu mbalimbali. Ili kuwa na total exploration ya Ulimwengu wa Nyama, Nafsi inatengeneza concetration kubwa kwenye ulimwengu huu wa sasa.

Kwahiyo kuna kuwa na nafasi ndogo sana ya kuweza kufuatilia ulimwengu wa roho. Mtoto ataanza kujifunza na kisha kupata Elimu katika mambo mbalimbali. Na elimu hiyo inawekwa kwenye Kumbukumbu ndani ya Nafsi.

Kwa sababu concentration kubwa ipo kwenye ulimwengu wa damu na nyama, mtu huyo baada ya kupata elimu (Education) atapata (Maarifa) Knowledge na baada ya kuitumia hiyo Knowledge -> atapata Skill (Ujuzi). Na baada ya kutumia Skill hiyo kwa muda atakata Experience (Uzoefu) na baada ya kutumia uzoefu huo kwa muda atapata Wisdom (Hekima).

NGOJA NIISHIE HAPO kwa SASA NITAENDELEA.
Too short.
 
Ukifuatilia vizuri, humu jamvini huwa kunakuwa na kundi la watu ambao aidha Kwa kukusudia au kutokusudia huzuia watu kutoa Elimu waliyo nayo Kwa wengine...
Hasa pale mtoa mada anapokuwa na roho ndogo ndio huwa hatoboi kabisa.
 
Back
Top Bottom