Ni mtu sana huyo dogo, jaribu kumfuatilia. Ana kasi na ana nguvu.HD... Japo sikukubali ila sio mbaya.....
Sawa Sawanaaam naam, tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa sherehe
Wapi HukoKwa mara ya kwanza Leo naona umuhimu wa Hizi thread za Live...
Nipi eneo ambalo CCM wanapatiaga kura...mtandao ni shida
Na Radio inasikikia Moja TU ...Radio Maria
Eti bwana.Simba ajawai kushindwa vita.Sawa Sawa
Simba Ni Simba
Sasa hivi ndio anasema wafunge 3 mwanzoni alikuwa anasema 2, watangazaji uchwara hawa.
Simba Nguvu MojaEti bwana.Simba ajawai kushindwa vita.
Ametuokoa MkuuImagine Dilunga anaanza kwenye kikosi cha Simba ina maana amewashinda viwango hao waliosajiliwa.
Hata ikiwa utamkuta kalowa bado ni Simba.Sawa Sawa
Simba Ni Simba
Kasi na nguvu anazo, ila umaliziaji ndio tatizo...Ni mtu sana huyo dogo, jaribu kumfuatilia. Ana kasi na ana nguvu.
Ya 89. 25Dakika ya ngp wakuu,nimekatiwa umeme hapa.