changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Ile spirit yao imepungua baada ya kurusu goliHawa majamaa wanashambulia aisee sijui nirudi tena home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile spirit yao imepungua baada ya kurusu goliHawa majamaa wanashambulia aisee sijui nirudi tena home
Alafu mechi ngumu kama hii kwa Simba dk aziendagi fasta sijui kwanini!Dakika Ya Ngapi?
NI kweli.Mkuu, hii ni knock out stage, halafu ni mechi ya kimataifa, sio Mbeya Kwanza
Simba Nguvu MojaSimba Akifeli, Taifa litakuwa Limefeli......!
Tushangilie kwa Adabu!!
Nimegundua mashabiki wa Simba wengi Hawana "UVUMILIVU WA MPIRA"
Kabisa Mpaka Hajafanya Mabadiliko Ya Goalkuwe na uwezo wa muanzisha thread kuedit heading naona moderator wa leo ni utopolo
Sawadk 79 red arrows 2-1 simba
Ukitaka kujua ugumu wa kucheza ugenini nje ya nchi (sio nje ya mji wako), ziulize timu tatu zilizokuwa na Simba zikiiwakilisha nchi msimu huuNI kweli.
Ila TUSIWE TUNAMALIZA MANENO.
MPIRA ni mchezo wa 50/50.
Kuna kupanda na kushuka.
Tuwe wavumilivu.
MPIRA unaendelea hatuna haja ya kumaliza MANENO.Tulizoea ushindi Mkuu especially kwenye vitimu vidogo dogo kama hawa
Mkuu ni utani tu sometimes 😁,naelewa ni goli la ugenini..Ungeelewa hako kagoli kanawalazimisha Red Arrows kutafuta mabao mengine matatu, usingekadharau
Narudi banda umiza kwa kasi ya 40G