Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wameshatoka.... Walianza vizuri...Sasa Red Arrows inabidi wapate mabao mengine matatu ili iwe 5-1, vinginevyo watakuwa wametolewa
Aisee wana Uto walikua washaanza kunisakama hapa kibanda umiza.Nilikuwa nimezima na simu kabisa,nimesikia kelele nikawasha simu huku natetemeka [emoji3][emoji3][emoji3]
Achana Naye Ndiyo Wavimba Macho HaoAjui hata Simba inacheza mashindano gani huyo.
Ungeelewa hako kagoli kanawalazimisha Red Arrows kutafuta mabao mengine matatu, usingekadharauWanapata kagoli ka kufutia machozi 😂
Mi sina mashaka mtani kwa hii timu Mayele tuongee nae mapema tu zisizidi goli tatu.Relax Mkuu,Tunakuhitaji tar 11
Kuanzia kiungo kurudi nyuma kumekatika.Na nakubaliana na mdau mmoja aliyesema kua simba kwenye mechi zakulinda ushindi wanakuaga na wakati mgumu. Timu nikama inakua na kiwewe. Tumepata goli moja ngoja tuone hadi mwisho.Hivi beki simba ipo kweli, au wameuzwa
HajuiUngeelewa hako kagoli kanawalazimisha Red Arrows kutafuta mabao mengine matatu, usingekadharau
Kabisa urudi fasta.Narudi banda umiza kwa kasi ya 40G
Mkuu, hii ni knock out stage, halafu ni mechi ya kimataifa, sio Mbeya KwanzaNimegundua mashabiki wa Simba wengi Hawana "UVUMILIVU WA MPIRA"