Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Hawatoki mikia kwa jua hilo..sasa labda wategemee mbinu yao kubwa msimu huu ya kujidondosha
Tusubiri tuone. Pona pona yao waweke guard ya maana half time wasiruhusu goal lolote mpaka dakk ya 80 labda ndo wafungwe 1.
But wakijichanganya wakawapa nafas kupata goal 2 first half, wameisha. Zitachomolewa zote na zingine kuongezwa.
 
Mnyama alitoyeka kukoswa koswa kunako benjamini der stadior anamlarua Red arrows mzima mzima.
 
Simba leo anakufa 3 kubabake zao
 
Namuona Kocha.

1. Hii mechi Hatutakiwi kuidharau na kujiona Tumeshavuka, Kama Tuliweza kuwafunga 3 kwa Mkapa nao Wanaweza kutufunga kwao

2. Habari Za Kulinda Ushindi ni BIG NO, Tushambulie tupate goli Nyingi.

3. kikosi Cha Majaribio Hapana kisa Kuiwaza Yanga ni BIG NO nimemsikia Barba Sehemu akiongea kana kwamba yeye ni kocha sijui kikosi kitakuwa na Mabadiriko, Tunasema BIG NO tunataka watu Wa Kazi, Yanga Tutaanza kuifikiria Kesho au Jumanne.

4. Wachezaji Wajitume, Mambo ya Kunyata nyata Kuhofia Majeruhi Na hawatacheza kwenye Derby Hiyo ni BIG NO

PABLO wewe ni Mtu kazi na Sisi Tunasema Kazi Kazi
 
Afrika ni moja na Zambia ni ndugu zetu wa damu, hivyo hakuna haja ya kuwatakia mabaya ndugu zetu wa Red Arrows.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…