NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Utopolo wameze kabisa dawa za maumivu makali watakayoyapata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri tuone. Pona pona yao waweke guard ya maana half time wasiruhusu goal lolote mpaka dakk ya 80 labda ndo wafungwe 1.Hawatoki mikia kwa jua hilo..sasa labda wategemee mbinu yao kubwa msimu huu ya kujidondosha
Unateseka ukiwa wapi mkuu?Mabata fc wajiandae kwa kichapo kizito maana huko Lusaka hakuna maji leo ya kuogelea.
View attachment 2033694
Mji kasoro mitumbwi.Unateseka ukiwa wapi mkuu?
Sawa, kaa kwa kutulia. Tukutane hapa baadaeMji kasoro mitumbwi.
Ila usije jifanya hauna bando au uko busy online haupo.Sawa, kaa kwa kutulia. Tukutane hapa baadae
Watagongwa cha nguruweMaajabu ya simba utakuta wanapigwa nne tena leo!sio wa kuwaamini
Hlo sahau, tukutane baada ya dk 90Nawatakia kilalaheri red arrows.....wawachome mishale minne thimba maji.
Afrika ni moja na Zambia ni ndugu zetu wa damu, hivyo hakuna haja ya kuwatakia mabaya ndugu zetu wa Red Arrows.Simba Sc, wakiwa na faida ya magoli matatu waliyoyapata mechi ya kwanza, leo wataingia uwanja wa taifa Lusaka kucheza mechi ya marudiano dhidi ya Red Arrows kuwania kuingia hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika. Je, mnyama ataweza kulinda ushindi wake na kutinga hatua ya makundi?
Tuwe hapa kuanzia Saa 10 Jioni