Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Ni jambo lililotegemewa. Jana katika press, Pablo alisema anatazamia Red Arrows watakuja na mashambulizi maana hawana cha kupoteza, kwamba walishapoteza hivyo watajilipua
Kabisa,sema wamekosa forward nzuri.
 
Tumezoea kuiona simba ikicheza hovyo baada ya kupata goli la kuongoza
Na hapa simba bado haijapata goli lakini cheki inavyocheza
kumbuka Simba ana goli 3 za awali, sasa ni uamuzi wa kimbinu, asahmbulie kwa kujiachia au alinde ushindi
 
Hawa red arrows hawajui kutengeneza mipango ya mashambulizi pamoja na kutawala mchezo
 
Sijui kwanini Onyango na Kapombe hawajaanza.
Israel simfaham vizuri
Henock naye simfaham vizuri, lakini wameanzishwa mbele ya Onyango na Kapombe.

Hope hesabu za Pablo zitafanikiwa.
Nina imani na Dilunga.
 
kumbuka Simba ana goli 3 za awali, sasa ni uamuzi wa kimbinu, asahmbulie kwa kujiachia au alinde ushindi
Tatizo hata ulinzi wao hauko stable, tia maji tia maji tu wakina wawa pale kati n wamemuachia mzigo enonga na manula
 
Mshahara wa paschal wawa ichukuliwe 60% apewe enonga na manula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…