Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa,sema wamekosa forward nzuri.Ni jambo lililotegemewa. Jana katika press, Pablo alisema anatazamia Red Arrows watakuja na mashambulizi maana hawana cha kupoteza, kwamba walishapoteza hivyo watajilipua
kumbuka Simba ana goli 3 za awali, sasa ni uamuzi wa kimbinu, asahmbulie kwa kujiachia au alinde ushindiTumezoea kuiona simba ikicheza hovyo baada ya kupata goli la kuongoza
Na hapa simba bado haijapata goli lakini cheki inavyocheza
Si unawashtaki kwa wazazi wake bwana Mo,"bwana mzazi ee mitoto yako mizezeta hailewi masomo leta mitoto mingine"si basi.Kama wanafunzi hawazingatii masomo utampa lawama kocha kwa lipi?
Na majamaa wanacheza jihad hatari sema wamekosa utulivu tuNi jambo lililotegemewa. Jana katika press, Pablo alisema anatazamia Red Arrows watakuja na mashambulizi maana hawana cha kupoteza, kwamba walishapoteza hivyo watajilipua
inabidi tunufaike kupitia ujinga wao, tukishindwa ku take hiyo advantage nadhani sisi ni zaidi ya wajingaHaya Red majinga tu
Tatizo hata ulinzi wao hauko stable, tia maji tia maji tu wakina wawa pale kati wamemuachia mzigo enonga na manulakumbuka Simba ana goli 3 za awali, sasa ni uamuzi wa kimbinu, asahmbulie kwa kujiachia au alinde ushindi
Red arrows wanakosa magoli ya wazi kabisa,Duuuh....
Tatizo hata ulinzi wao hauko stable, tia maji tia maji tu wakina wawa pale kati n wamemuachia mzigo enonga na manulakumbuka Simba ana goli 3 za awali, sasa ni uamuzi wa kimbinu, asahmbulie kwa kujiachia au alinde ushindi