Red Arrows 2-1 Simba SC | Shirikisho Afrika | Zambia

Simba isipokuwa makini ya garaxy yanaludi ina defensive sana kuliko yani jamaa wanashinda golini wakipata la pili hapa lazima mnyama hata poteana kabisa.
 
Oya refa mpira ni mapumziko saizi piga kipyenga tuje na mbinu mpya
 
Kwa macho tu inaonekana jinsi Wawa alivyopwaya sijui kwanini kocha asifanye sub akaingia Kenedy au Onyango.
Ndo mashaka yangu kwa huyo kocha kafundisha Madrid ipi ya Buza au Tandale kwa tumbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…