OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mpira unachezwa kwa tahadhari kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
21' Red 0-0 SimbaNgapi huko?
Lwanga bado Mgonjwa,Kwa haya mashambulizi tunayofanyiwa simba,hawa jamaa wanaweza kurudisha zile goli 3.
Hawana utulivu wakifika golini kwa simbaHawa mbwa wanashambulia lakini
Tukifanya masihara tunatolewaHawana utulivu wakifika golini kwa simba
Kenedy pia ni muhimu, dah lwanga mtu sana angesaidiaMkude amuache Muzamiru dimba. Hawa jamaa wanakosa utulivu tu. Wawa anajirukia tu
Wawa ni wakuachwa msimu ujao akelee wakujukuu.Mkude amuache Muzamiru dimba. Hawa jamaa wanakosa utulivu tu. Wawa anajirukia tu
Mkude tukiwa hatuna mpira sio mzuri bahati mbaya wawa nae jioni imemzidiUbovu wa Simba kwenye ulinzi utaisha kwenye utawala upi?