Heshima kwenu wana JF. Kuna hili tatizo la red eyes ambao kwa hapa dsm almost palipo saba mmoja au wawili wanasumbuli.wa na red eyes ila mimi sijajua unatokeaje na unasambaa vipi natumai nitafahamia hapa jamvini.
Mkuu, siwezi jua unatokea vipi ila unasambaa ki ajabu sana. Yaani mtu anayeumwa akifikicha macho yake kisha akagusa kitu na wewe usiyeumwa ukakigusa na kuyafikicha macho yako basi unao.