Red eyes inasababishwa na nini? Msaada jamani

Red eyes inasababishwa na nini? Msaada jamani

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,054
Reaction score
585
Heshima kwenu wana JF. Kuna hili tatizo la red eyes ambao kwa hapa dsm almost palipo saba mmoja au wawili wanasumbuli.wa na red eyes ila mimi sijajua unatokeaje na unasambaa vipi natumai nitafahamia hapa jamvini.
 
Ushfikiche macho pia nawa mikono na sabuni mara kwa mara mie yeah huku kwetu nimemuona mtu na red eyez hila limeanzia udsm.
 
Mkuu, siwezi jua unatokea vipi ila unasambaa ki ajabu sana. Yaani mtu anayeumwa akifikicha macho yake kisha akagusa kitu na wewe usiyeumwa ukakigusa na kuyafikicha macho yako basi unao.
 
mbona balaa nyingine hii kwahiyo kunatakiwa ukae nao mbali na sasa si ndio kuwanyanyapaa.
 
Back
Top Bottom