Red Garnett bei gani?

Red Garnett bei gani?

cholloh1

Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
52
Reaction score
5
Natafuta bei ya madini ya Red Garnet na soko lake liko vpi. Nina kilo za kutosha na sample pia zipo. Naombeni bei kwa @kg kwa wadau wa stones.
 
Sijafanya hyo vipimo, íla nyingi kwa makadirio kuna za 100g, 200g,500gm na kilo, size ya kati na ndogo ndogo ni kichele. Kuna rose type na mviringo/golo. Ruka bei tufanye kazi. Na zaidi zaidi kama unataka kazi ni PM uje na bei kabisa.
 
PXL_20250123_091031146.jpg

Mwenyewe ninayo hii hapa mwenye kujua soko aseme
 
Back
Top Bottom