Red gold na foil zinapatikana wapi?

Red gold na foil zinapatikana wapi?

notyfeky

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
713
Reaction score
730
Habari wakuu.
Mdau anomba mwenye kufahamu bei ya jumla TOMATO SAUCE za RED GOLD galoni za lita5 na FOIL wanauzaje na kwa Dar wapi zinapatikana kwa urahisi
 
Habari wakuu.
Mdau anomba mwenye kufahamu bei ya jumla TOMATO SAUCE za RED GOLD galoni za lita5 na FOIL wanauzaje na kwa Dar wapi zinapatikana kwa urahisi
Price list inategemea na order yako, wewe ni whole saler au retail?

Au Mr Chips?
 
Back
Top Bottom