Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Its all about love.....!❣️
Iko hivii....
Kuna mahala nilienda kwenye shughuli ya kiofisi, baada ya ziara kuisha tukatembezwa kwenye karakana kuona uzalishaji...
Muda ukawa umeisha tukiwa tunajiandaa kuondoka tukaulizwa kila mtu aseme anachotumia tunapewa zawadi. Mie nikasema naomba Red Sweet Wine...
Kiufupi sipendi vitu vichungu, basi nikafika nyumbani nikajiswafi tupiamo nyama nusu kilo kisha nikavaa kivazi cha kuishusha Red Sweet Wine.....!
Looh, haikuwa tamu kama nilivyotarajia... ina uchungu sasa nikasema hiyo sweet wanamaanisha nini...?!
My favourate wine is Pear Bay Rose- Red Sweet Wine.
Nikiinywa ni tamu na kachupa kanaisha ndani ya wakati nikiwa nalisakata rhumba.
My other favourates are Amarula, Alta na nyingine nimeisahau jina iko kwenye chupa ina hips za duara chini halafu juu mdomo mwembamba 😜.
Please wine manufacturers, if it doesn’t taste sugar don’t name it sweet.
Sugar is Love.
I love Sugar which is Love not the Cane Sugar😅.
Mahaba Matata....
Salted Eyes 😍.