Red Sweet Wine & Nuts....😋

Red Sweet Wine & Nuts....😋

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Its all about love.....!❣️

Iko hivii....

Kuna mahala nilienda kwenye shughuli ya kiofisi, baada ya ziara kuisha tukatembezwa kwenye karakana kuona uzalishaji...

Muda ukawa umeisha tukiwa tunajiandaa kuondoka tukaulizwa kila mtu aseme anachotumia tunapewa zawadi. Mie nikasema naomba Red Sweet Wine...

Kiufupi sipendi vitu vichungu, basi nikafika nyumbani nikajiswafi tupiamo nyama nusu kilo kisha nikavaa kivazi cha kuishusha Red Sweet Wine.....!

Looh, haikuwa tamu kama nilivyotarajia... ina uchungu sasa nikasema hiyo sweet wanamaanisha nini...?!

0F0B5457-6B9F-4E5E-9416-5FA1B12D9048.jpeg

My favourate wine is Pear Bay Rose- Red Sweet Wine.
Nikiinywa ni tamu na kachupa kanaisha ndani ya wakati nikiwa nalisakata rhumba.

1FFCB97C-C3D6-4A67-8C78-88E5C01E8FC5.jpeg

My other favourates are Amarula, Alta na nyingine nimeisahau jina iko kwenye chupa ina hips za duara chini halafu juu mdomo mwembamba 😜.

Please wine manufacturers, if it doesn’t taste sugar don’t name it sweet.

Sugar is Love.

I love Sugar which is Love not the Cane Sugar😅.

Mahaba Matata....

Salted Eyes 😍.
 
Its all about love.....!❣️

Iko hivii....

Kuna mahala nilienda kwenye shughuli ya kiofisi, baada ya ziara kuisha tukatembezwa kwenye karakana kuona uzalishaji...

Muda ukawa umeisha tukiwa tunajiandaa kuondoka tukaulizwa kila mtu aseme anachotumia tunapewa zawadi. Mie nikasema naomba Red Sweet Wine...

Kiufupi sipendi vitu vichungu, basi nikafika nyumbani nikajiswafi tupiamo nyama nusu kilo kisha nikavaa kivazi cha kuishusha Red Sweet Wine.....!

Looh, haikuwa tamu kama nilivyotarajia... ina uchungu sasa nikasema hiyo sweet wanamaanisha nini...?!

View attachment 1952756
My favourate wine is Pear Bay Rose- Red Sweet Wine.
Nikiinywa ni tamu na kachupa kanaisha ndani ya wakati nikiwa nalisakata rhumba.

View attachment 1952758

My other favourates are Amarula, Alta na nyingine nimeisahau jina iko kwenye chupa ina hips za duara chini halafu juu mdomo mwembamba 😜.

Please wine manufacturers, if it doesn’t taste sugar don’t name it sweet.

Sugar is Love.

I love Sugar which is Love not the Cane Sugar😅.

Mahaba Matata....

Salted Eyes 😍.
i wish ningekuona na hiko ki nguo chako cha kunywea wine, we are all very much aware of the fact kwamba una dhawadi ya kubarikiwa huko nyuma a.k.a tera😋
 
Aahahahahaaaa mmekosea, hakunanga trela wala semi tera...😅

40A4B214-FEC6-47A5-B66E-0BA068E6A403.jpeg

Bi Kasinde miaka 20 iliyopita....!

5F184F10-1A35-4F7D-903E-0F21AD06A4E2.jpeg

Bi Kasinde (kushoto) wiki mbili zilizopita.
 
Red Sweet Wine Nzuri Lazima Iwe Na Alcohol Percentage 16.5
Ama 14.3 Siyo Unakunywa Tamu Kama Soda Hata Midomo Haichachuki
 
Napenda wine ya four cousins,!! Sweety! Sema huwa nazufia tu nikiwa na wwstatabu ila yangu serenget lite bard[emoji2957]

Hiyo sijawahi ikunywa, am not good on tasting Ila kama ina utamu kama Altar Wine, then itaongezeka kwenye list yangu ya vitamtam.
 
Red Sweet Wine Nzuri Lazima Iwe Na Alcohol Percentage 16.5
Ama 14.3 Siyo Unakunywa Tamu Kama Soda Hata Midomo Haichachuki

Hizo za hivyo siziwezi...

Sugar Sukari ndo mpango mzima ....😌
 
Hapa Dodoma Gallon 5 Litres Tshs 30000/= ~ 45000/=
Inategemea Na Kampuni

Ooh asante kwa taarifa. Nikipita maeneo hayo ntachukua lita 20 zenye utamu 😅.
 
Red Sweet Wine Siyo Kama Chimpumu Yaani Unywe Mpaka Uanguke

Aahahahahhaaa I know...

Na maana yangu kuchukua lita 20......

The longer/older the wine, the sweeter it gets 😋😋

Hiyo itanywewa kidogo kidogo hadi uchaguzi ujao 😅.
 
Back
Top Bottom