Red Sweet Wine & Nuts....πŸ˜‹

Aahahahahhaaa I know...

Na maana yangu kuchukua lita 20......

The longer/older the wine, the sweeter it gets πŸ˜‹πŸ˜‹

Hiyo itanywewa kidogo kidogo hadi uchaguzi ujao πŸ˜….
Pita Pale Kuna Kampuni Ipo Jirani Na Bunge Wao Tshs 45000/= Shabiby Kuna Kampuni Wao Tshs 35000/=
Bahi Road Wao Tshs 30000/=
 
Pita Pale Kuna Kampuni Ipo Jirani Na Bunge Wao Tshs 45000/= Shabiby Kuna Kampuni Wao Tshs 35000/=
Bahi Road Wao Tshs 30000/=

Asante kwa dondoo, ntazifanyia kazi kulingana na mahitaji yangu. πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Napenda Pinot noir,Merlot or any cab sav ambayo imepoa hata kama ikiwa blended
 
Aahahahahaaaa mmekosea, hakunanga trela wala semi tera...πŸ˜…

View attachment 1952776

Bi Kasinde miaka 20 iliyopita....!

View attachment 1952778

Bi Kasinde (kushoto) wiki mbili zilizopita.
bado kishundu kipoπŸ˜‹,mimi siku moja nakuletea wine na red rose pembeni kuonesha upendo,hiyo siku sipati picha nyuzi utakazo nifungulia humu zikiambatana na ma copa copa
 
Kwakweli hata mimi tangu niache POMBE kinywaji changu pendwa ni wine. Mi napiga zote red au white mradi iwe sweet. 🍷

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† thanks for the notification that wine 🍷 is not alcohol 🍺😜.

I’ll keep on seeping red sweet wine while I last...
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† thanks for the notification that wine 🍷 is not alcohol 🍺😜.

I’ll keep on seeping red sweet wine while I last...
Hombolo Nako Inatengenezwa Sana Hata Mpunguzi
 
Dodoma Tele Utajizolea Ukilala Unaweka Gallon Uvunguni Mwa Kitanda Unachomeka Mrija Unanyonya Taratibu

Aahahahahahaaa

Kunyonya raha sana, sema ntaogopa kupaliwa kausingizi kakishika hatamu 😜.
 
Aahahahahahaaa

Kunyonya raha sana, sema ntaogopa kupaliwa kausingizi kakishika hatamu 😜.
Haa Haa Haa Haa Haa Haa Haa Haa
Kununua Chupa Unaibiwa Lakini Gallon Ndiyo Zuri
 
Hivi kasie ni ke au me
 
Hiyo sijawahi ikunywa, am not good on tasting Ila kama ina utamu kama Altar Wine, then itaongezeka kwenye list yangu ya vitamtam.
Jaribu imetulia sana!! Hata kabei kamechangamka kidogo
 
Ooh asante kwa taarifa. Nikipita maeneo hayo ntachukua lita 20 zenye utamu [emoji28].
Kama ni mtu wa wine za africa kusin na kwamba wine aina dompo hazipandi bas usijaribu hizo za lita 5 elf 25 utaijutia hela yako! Lakini unaweza tu kujaribu kwanza..
 
Kwakweli hata mimi tangu niache POMBE kinywaji changu pendwa ni wine. Mi napiga zote red au white mradi iwe sweet. [emoji485]
Kumbe wine ni wine na bia ni pombe eenh? Au konyagi ni konyag[emoji2957][emoji2957]
 
Hombolo Nako Inatengenezwa Sana Hata Mpunguzi

Ooh, okay...

Vile napenda kusafiri ntapanga kutembelea mahala wanazalisha mvinyo, just for fun.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…