Red Sweet Wine & Nuts....๐Ÿ˜‹

Red Sweet Wine & Nuts....๐Ÿ˜‹

Aahahahahhaaa I know...

Na maana yangu kuchukua lita 20......

The longer/older the wine, the sweeter it gets ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

Hiyo itanywewa kidogo kidogo hadi uchaguzi ujao ๐Ÿ˜….
Pita Pale Kuna Kampuni Ipo Jirani Na Bunge Wao Tshs 45000/= Shabiby Kuna Kampuni Wao Tshs 35000/=
Bahi Road Wao Tshs 30000/=
 
Pita Pale Kuna Kampuni Ipo Jirani Na Bunge Wao Tshs 45000/= Shabiby Kuna Kampuni Wao Tshs 35000/=
Bahi Road Wao Tshs 30000/=

Asante kwa dondoo, ntazifanyia kazi kulingana na mahitaji yangu. ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Napenda Pinot noir,Merlot or any cab sav ambayo imepoa hata kama ikiwa blended
 
Aahahahahaaaa mmekosea, hakunanga trela wala semi tera...๐Ÿ˜…

View attachment 1952776

Bi Kasinde miaka 20 iliyopita....!

View attachment 1952778

Bi Kasinde (kushoto) wiki mbili zilizopita.
bado kishundu kipo๐Ÿ˜‹,mimi siku moja nakuletea wine na red rose pembeni kuonesha upendo,hiyo siku sipati picha nyuzi utakazo nifungulia humu zikiambatana na ma copa copa
 
Kwakweli hata mimi tangu niache POMBE kinywaji changu pendwa ni wine. Mi napiga zote red au white mradi iwe sweet. ๐Ÿท

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† thanks for the notification that wine ๐Ÿท is not alcohol ๐Ÿบ๐Ÿ˜œ.

Iโ€™ll keep on seeping red sweet wine while I last...
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† thanks for the notification that wine ๐Ÿท is not alcohol ๐Ÿบ๐Ÿ˜œ.

Iโ€™ll keep on seeping red sweet wine while I last...
Hombolo Nako Inatengenezwa Sana Hata Mpunguzi
 
Dodoma Tele Utajizolea Ukilala Unaweka Gallon Uvunguni Mwa Kitanda Unachomeka Mrija Unanyonya Taratibu

Aahahahahahaaa

Kunyonya raha sana, sema ntaogopa kupaliwa kausingizi kakishika hatamu ๐Ÿ˜œ.
 
Aahahahahahaaa

Kunyonya raha sana, sema ntaogopa kupaliwa kausingizi kakishika hatamu ๐Ÿ˜œ.
Haa Haa Haa Haa Haa Haa Haa Haa
Kununua Chupa Unaibiwa Lakini Gallon Ndiyo Zuri
 
Its all about love.....![emoji3589]

Iko hivii....

Kuna mahala nilienda kwenye shughuli ya kiofisi, baada ya ziara kuisha tukatembezwa kwenye karakana kuona uzalishaji...

Muda ukawa umeisha tukiwa tunajiandaa kuondoka tukaulizwa kila mtu aseme anachotumia tunapewa zawadi. Mie nikasema naomba Red Sweet Wine...

Kiufupi sipendi vitu vichungu, basi nikafika nyumbani nikajiswafi tupiamo nyama nusu kilo kisha nikavaa kivazi cha kuishusha Red Sweet Wine.....!

Looh, haikuwa tamu kama nilivyotarajia... ina uchungu sasa nikasema hiyo sweet wanamaanisha nini...?!

View attachment 1952756
My favourate wine is Pear Bay Rose- Red Sweet Wine.
Nikiinywa ni tamu na kachupa kanaisha ndani ya wakati nikiwa nalisakata rhumba.

View attachment 1952758

My other favourates are Amarula, Alta na nyingine nimeisahau jina iko kwenye chupa ina hips za duara chini halafu juu mdomo mwembamba [emoji12].

Please wine manufacturers, if it doesnโ€™t taste sugar donโ€™t name it sweet.

Sugar is Love.

I love Sugar which is Love not the Cane Sugar[emoji28].

Mahaba Matata....

Salted Eyes [emoji7].
Hivi kasie ni ke au me
 
Ooh asante kwa taarifa. Nikipita maeneo hayo ntachukua lita 20 zenye utamu [emoji28].
Kama ni mtu wa wine za africa kusin na kwamba wine aina dompo hazipandi bas usijaribu hizo za lita 5 elf 25 utaijutia hela yako! Lakini unaweza tu kujaribu kwanza..
 
Kwakweli hata mimi tangu niache POMBE kinywaji changu pendwa ni wine. Mi napiga zote red au white mradi iwe sweet. [emoji485]
Kumbe wine ni wine na bia ni pombe eenh? Au konyagi ni konyag[emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom