Red Worm: Kwa kulishia Kuku, Samaki, na vile vile kutengeneza mbolea ya Maji

Red Worm: Kwa kulishia Kuku, Samaki, na vile vile kutengeneza mbolea ya Maji

Mkuu umetisha, hiyo kitu ni ya mhimu sana. Tupia link ya video humu ili wale tusiokuwa na whatsap tuipate hapa.

Namaanisha hybreed red worm sasa nyie subilia hao wa whatsap tatizo letu wabongo tunapenda miteremko kupita kiasi hili ndo tatizo letu kubwa na si kingine
 
Nawahitaji kwa wingi nilishe samaki wangu, nafahamu wanakuza samaki haraka sana but sijui jinsi ya kuwazalisha kwa wingi. Plz help me.

Nilio nao ni Hybreed red worm na sio haa unao wajua mkuu na hawa niliwachukua Chuo kikuu cha Jomo kenyata huko Kenya na kilo moja ni around Tsh 50,000/ sasa nashangaa mtu anasema anao wa whatsap, tehe tehe,
 
Jamaa video clips zake ni za ulimaji wa Hybreed red worms, Jamaa hajasema anao amesema ana video clips za ulimaji wa hao minyoo, acha kupotosha
 
Jamaa video clips zake ni za ulimaji wa Hybreed red worms, Jamaa hajasema anao amesema ana video clips za ulimaji wa hao minyoo, acha kupotosha

Inaonekana jamaa anaendesha mafunzo ya ujasiriamali so ameumia kuona wanataka kumuharibia soko!!
 
Inaonekana jamaa anaendesha mafunzo ya ujasiriamali so ameumia kuona wanataka kumuharibia soko!!

Jamaa ni attention seeker sana, huwa mara nyingi thread/post zake huishia juu juu anataka watu waanze kumfront. People are here to share ili kujifunza na siyo kutafuta ujiko
 
Jamaa ni attention seeker sana, huwa mara nyingi thread/post zake huishia juu juu anataka watu waanze kumfront. People are here to share ili kujifunza na siyo kutafuta ujiko

Post gani imeishia juu na ulitaka iishie wapi? kwani wewe huwezi ongezea? au unataka kutafuniwa kila kitu? acha ujinga tumia akili zako kama unaona zinaishia juu juu unazifungua za nini? achana na thread zangu anzisha ya kwako watu wachangie.
 
Tataizo most of us tunapenda miteremko, na ukweli ni kwamba Hybreed Red worm kama unawahitaji unaagiza kutoka JKUAT make huko ndo wanako uzwa sasa watu sijui wanataka waambiwe vipi, Mimi binafisi siuzi wa kwangu but anaye taka naweza mfanyia process za kuwapata.

Na hawa wakawaida hawawezi multiply kama hybreed redworm, ok na hawawezi toa mbolea organic ambayo inaweza tumika kuzalishi vitu kama fodder.

HIVYO KAMA MTU ANAHITAJI HYBREED RED WORM NI LAZIMA UAGIZE NJE NA SI PESA NDOGO,
 
Naomba unipe mwangaza kidogo ya jinsi wanavyozaliana,..
 
Naomba unipe mwangaza kidogo ya jinsi wanavyozaliana,..

Wanatengenezewa chumba/vyumba ambapo huweza kuzaliana kwa muda na kwa hawa Hybreed ukiweka kilo mbili baada miezi 2 huwa kilo 20 na zaidi na huendelea hadi hata kufikia kilo 100 na kuendelea, ambapo sasa waweza lishia kuku, samaki, na kwa kuku unaweza wapa wabichi au ukakausha minyoo na kuwapa iliyo kaushwa au ukawachanganyia kwenye chakula chao badala ya dagaa/samaki
 
Video ndo Worm? hili ndo tatizo la Wabongo tunapenda chep sana, Red worm ninao zungumzia sio wale unao wajua wewe hawa ni HYBREED RED WORM

Samahani Naona sijaeleweka MIMI SINA HAWO RED WORM NILICHONACHO NI CLIP ZINAZOONYESHA/FUNZO DOGO LA RED WORM FARMING
 
Wanatengenezewa chumba/vyumba ambapo huweza kuzaliana kwa muda na kwa hawa Hybreed ukiweka kilo mbili baada miezi 2 huwa kilo 20 na zaidi na huendelea hadi hata kufikia kilo 100 na kuendelea, ambapo sasa waweza lishia kuku, samaki, na kwa kuku unaweza wapa wabichi au ukakausha minyoo na kuwapa iliyo kaushwa au ukawachanganyia kwenye chakula chao badala ya dagaa/samaki

samahani niongezee maarifa chasha,.hicho chumba kina sifa zipi?
 
Kuna clip nyingi sana YouTube nendeni huko andika earthorms utapata link K24 wanavideo yao inaelezea kila kitu
 
Kiongozi naomba unitumie na mimi hiyo video clip kwenye number yangu maana ndo naanda mabanda ya kufugia now
number yangu ya whatsapp ni "+231775573389"
Natanguliza shukrani kiongozi
 
Back
Top Bottom