CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Mkuu umetisha, hiyo kitu ni ya mhimu sana. Tupia link ya video humu ili wale tusiokuwa na whatsap tuipate hapa.
Nawahitaji kwa wingi nilishe samaki wangu, nafahamu wanakuza samaki haraka sana but sijui jinsi ya kuwazalisha kwa wingi. Plz help me.
Nilio nao ni Hybreed red worm na sio haa unao wajua mkuu na hawa niliwachukua Chuo kikuu cha Jomo kenyata huko Kenya na kilo moja ni around Tsh 50,000/ sasa nashangaa mtu anasema anao wa whatsap, tehe tehe,
Jamaa video clips zake ni za ulimaji wa Hybreed red worms, Jamaa hajasema anao amesema ana video clips za ulimaji wa hao minyoo, acha kupotosha
Nina some video clip nitumie Tel no niwatumie by whatsApp
Inaonekana jamaa anaendesha mafunzo ya ujasiriamali so ameumia kuona wanataka kumuharibia soko!!
Inaonekana jamaa anaendesha mafunzo ya ujasiriamali so ameumia kuona wanataka kumuharibia soko!!
Jamaa ni attention seeker sana, huwa mara nyingi thread/post zake huishia juu juu anataka watu waanze kumfront. People are here to share ili kujifunza na siyo kutafuta ujiko
Wanauzwaje hao kwahuko kenya?
Naomba unipe mwangaza kidogo ya jinsi wanavyozaliana,..
Video ndo Worm? hili ndo tatizo la Wabongo tunapenda chep sana, Red worm ninao zungumzia sio wale unao wajua wewe hawa ni HYBREED RED WORM
Samahani Naona sijaeleweka MIMI SINA HAWO RED WORM NILICHONACHO NI CLIP ZINAZOONYESHA/FUNZO DOGO LA RED WORM FARMING
Wanatengenezewa chumba/vyumba ambapo huweza kuzaliana kwa muda na kwa hawa Hybreed ukiweka kilo mbili baada miezi 2 huwa kilo 20 na zaidi na huendelea hadi hata kufikia kilo 100 na kuendelea, ambapo sasa waweza lishia kuku, samaki, na kwa kuku unaweza wapa wabichi au ukakausha minyoo na kuwapa iliyo kaushwa au ukawachanganyia kwenye chakula chao badala ya dagaa/samaki