October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Huyo Samia ni sawa na JK. Viongozi wa kiislam wanao uwezo mkubwa wa kupuuzia maneno yanayosemwa kuhusu wao.Hatuandamani tena ila tutahakikisha Samia anaishi kwa wasiwasi na kukosa muda wa kula Bata mpaka anakufa na kifo chake kiwe Cha mateso na majuto makubwa Sana
Na wote tuseme amen!!
Nyumbu mmekata tamaa siyo? Si ulikua unarusha pembe humu uanasema unaandamana vipi mbona hujatoka au leo siyo D25?Hatuandamani tena ila tutahakikisha Samia anaishi kwa wasiwasi na kukosa muda wa kula Bata mpaka anakufa na kifo chake kiwe Cha mateso na majuto makubwa Sana.
Vipi ngapi ngapi huko?Wanyonge msiumie nyoyo zenyu. Huyu mtu hatutamuacha aingie kuzimu kwa amani. Redcross wasema lazima alipie. Yeye ajifiche awezavyo wala hiyo haimsaidii hehehee. Yule jamaa wa Baharini. Mzee wa supu ya ngisi anapasha kiporo walahi. Mwambieni kama kufa Kila mtu atakufa asiogope mayii. Siku ikifika imefika. Yeye alikatisha za wenzake asubili zamu yake. Asifikili mungu baba yake. Redcross wapo na wapo karibu yake kuliko adhanivyo. Nye nye nye. Mwisho wa ubaya apewe tuzo. Hehehe. Vijana wetu kazi mnaifanya vizuri. Huo ndio uzalendo. Mwaitumikia nchi sio mtu. Walahi mwanifurahisha. Na bado.
Wajinga walitaka kutunishiana misuli na serikali wameishia kuadabishwa.Nyumbu mmekata tamaa siyo? Si ulikua unarusha pembe humu uanasema unaandamana vipi mbona hujatoka au leo siyo D25?
Amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote hakuna kucheka na nyumbu, naona ile dozi mliyoipata ni kubwa sana kuliko ugonjwa wenu sahivi kila nyumbu kashika adabu.
Vipi kete 4,6 ilikuwaje kabla ya 10?Alieanzisha move ya maandamano alitukosea sana!
Chama Bado kina misingi ya ku deal na watu wake coz hakuna mwenuekiti anaejua Kila kitu kuhusu dola!
Wajikite kwenye medani kuliko kusumbua watoto wa maskini mtaani eti waache kutafuta riziki waingie barabarani kuleta taharuki!!
Maandamano hayajawahi kuwa misisngi imara ya amani na utatuzi wa changamoto duniani kote!
Disappointed kato!
I know a man who knows a man who knows another man.Hawa red cross ninani?