BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Usitumie pombe yoyote.Sawa mkuu nimekuelewa but nilikua natumia kipindi siko mjamzito tangu niwe mjamzito sijawahi tumia ndo maana nikauliza ili nijue kama ni sawa kutumia hata katika kipindi hiki au lah,i real care.
Kula chakula bora ikiwemo samaki kwa wingi (wasio na zebaki) ....
mboga za majani
Nyama ... matunda....nk nk
Maji kwa sana
Bilq kusahau beetroot ili kuongez damu