Redd's ina madhara kwa mjamzito?

Sawa mkuu nimekuelewa but nilikua natumia kipindi siko mjamzito tangu niwe mjamzito sijawahi tumia ndo maana nikauliza ili nijue kama ni sawa kutumia hata katika kipindi hiki au lah,i real care.
Usitumie pombe yoyote.

Kula chakula bora ikiwemo samaki kwa wingi (wasio na zebaki) ....

mboga za majani

Nyama ... matunda....nk nk

Maji kwa sana

Bilq kusahau beetroot ili kuongez damu
 
Usitumie pombe yoyote.

Kula chakula bora ikiwemo samaki kwa wingi (wasio na zebaki) ....

mboga za majani

Nyama ... matunda....nk nk

Maji kwa sana

Bilq kusahau beetroot ili kuongez damu
Thank you for your advice,hao samaki wenye zebaki ni kama samaki gani?
 
Reds inatengenezwa kutokana na mchanganyiko wa sodium benzoeti,malic acid,caramel,methanol na apple flavor so hapo angalia hayo madhara ya kimoj kimoja ndo utajua madhara yake kwa ujauzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…