Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Njama zenu zimevuja kishamba sana !Tutamdharau vipi wakati anatekeleza wajibu wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njama zenu zimevuja kishamba sana !Tutamdharau vipi wakati anatekeleza wajibu wake
Chochote chaweza kutokea. CCM inaweweseka na inatafuta namna yoyote kushinda uchaguzi huu kwa hila. Kila idara ya dola ipo kazini kutoa mchango wake kufanikisha uhujumu huo.Njama zenu zimevuja kishamba sana !
Huyo prof. Mukandara na REDET yake ni makada na Mafisadi wanaotumika kuibeba CCM, na hawajaanza leoNawaomba watu wa REDET kama mnapanga kutumika ili kubadili public opinion, au kujustify uporaji wa haki za wananchi basi acheni, hatutowasamehe! Taifa na sauti za wananchi ni bora kuliko vijisenti viwili vitatu au vyeo vya hapa na pale!
Kama ni hivyo,wala sita shangaa kwani udokta na uprofu wakwetu kwetu umegéuka kuwa aibu kwa taifa letu.Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020...
Natoa onyo kwa Mukandara ajiepushe na Bashiru AllyChochote chaweza kutokea. Ccm inaweweseka na inatafuta namna yoyote kushinda uchaguzi huu kwa hila. Kila idara ya dola ipo kazini kutoa mchango wake kufanikisha uhujumu huo.
Mkuu wewe siku zote uko busy kutekeleza majukumu yako, kuna ubaya gani REDET pia wakitekeleza jukumu lao la kuijulisha umma matokeo ya utafiti waliofanya? Kwa nini unawasiwasi na matokeo ambayo hayajatangazwa. Moja ya jukumu lao ni kuujulisha umma matokeo ya tafiti zao na namna tafiti hizo zinaweza kuisaidia umma kufanya maamuzi na kunufaika na matokeo ya tafiti zao.Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020.
Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi wa rais na wabunge siku ya pili yake itakuwa ni ubakaji wa hali ya juu ya tasnia ya utafiti nchini kwa maana kwa vyovyote vile itakuwa ni mchezo wa kujaribu kutumia Utafiti kwa ajili ya kutumika kisiasa.
Namuonya Profesa Mukandara kuwa heshima yake kama mwanataaluma nguli, na mtafiti mwenye kuheshimika, heshima yake itaingia doa sana hadi kuchafuka asikoweza kujisafisha kama atashiriki mchezo huo mchafu!
Profesa ajue tu kuwa dunia ya leo ni kijiji na tekinolojua iko wazi, Kama akifanya mchezo huo jumuia ya wasomi wenzie watamdharau sana na heshima yake aliyoijenga kwa muda mrefu itashuka kwa kiwango kisicho mithilika. Na tutasambaza utafiti wake huo katika taasisi mbalimbali duniani wakiwemo "wadau wa maendeleo wa Taasisi hiyo" ili waone hiyo Taasisi ilivyo kituko!
Nawaomba watu wa REDET kama mnapanga kutumika ili kubadili public opinion, au kujustify uporaji wa haki za wananchi basi acheni, hatutowasamehe! Taifa na sauti za wananchi ni bora kuliko vijisenti viwili vitatu au vyeo vya hapa na pale!
Watanzania tuko macho, tunafuatilia sana. Attempt yoyote au Utafiti wowote utakaotoka kukiwa kumebaki Siku moja ili kupiga kura, Hiyo ni Professorial rubbish, na wala hatutaichukulia serious, na yeyote atakayehusika kuleta ufiti huo kanjanja basi tunajua tu kuwa anatumika na tutamdharau na kumpuuza bila kujali kiwango chake cha elimu ya makaratasini. Msomi wa kweli hawezi kukubali kutumika na wanasiasa!, Huyo ni msomi Kanjanja na Feki.
Utatoaje taarifa za utafiti wakati katika sehemu moja ya muungano yaani huko Zanzibar watu wameanza kupiga kura siku hiyo? huo ni ukhanithi wa kitaaluma!
Wameshaumbuka hii sio miaka ile walikuwa wanatushtukiza na mautafuti yao ya kuungaunga. Kwa sasa tushajua hadaa yao.Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020.
Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi wa rais na wabunge siku ya pili yake itakuwa ni ubakaji wa hali ya juu ya tasnia ya utafiti nchini kwa maana kwa vyovyote vile itakuwa ni mchezo wa kujaribu kutumia Utafiti kwa ajili ya kutumika kisiasa.
Namuonya Profesa Mukandara kuwa heshima yake kama mwanataaluma nguli, na mtafiti mwenye kuheshimika, heshima yake itaingia doa sana hadi kuchafuka asikoweza kujisafisha kama atashiriki mchezo huo mchafu!
Profesa ajue tu kuwa dunia ya leo ni kijiji na tekinolojua iko wazi, Kama akifanya mchezo huo jumuia ya wasomi wenzie watamdharau sana na heshima yake aliyoijenga kwa muda mrefu itashuka kwa kiwango kisicho mithilika. Na tutasambaza utafiti wake huo katika taasisi mbalimbali duniani wakiwemo "wadau wa maendeleo wa Taasisi hiyo" ili waone hiyo Taasisi ilivyo kituko!
Nawaomba watu wa REDET kama mnapanga kutumika ili kubadili public opinion, au kujustify uporaji wa haki za wananchi basi acheni, hatutowasamehe! Taifa na sauti za wananchi ni bora kuliko vijisenti viwili vitatu au vyeo vya hapa na pale!
Watanzania tuko macho, tunafuatilia sana. Attempt yoyote au Utafiti wowote utakaotoka kukiwa kumebaki Siku moja ili kupiga kura, Hiyo ni Professorial rubbish, na wala hatutaichukulia serious, na yeyote atakayehusika kuleta ufiti huo kanjanja basi tunajua tu kuwa anatumika na tutamdharau na kumpuuza bila kujali kiwango chake cha elimu ya makaratasini. Msomi wa kweli hawezi kukubali kutumika na wanasiasa!, Huyo ni msomi Kanjanja na Feki.
Utatoaje taarifa za utafiti wakati katika sehemu moja ya muungano yaani huko Zanzibar watu wameanza kupiga kura siku hiyo? huo ni ukhanithi wa kitaaluma!
Mtakoma mwaka huu mtaua hadi bibi zenu lakini hamchomokiCHADEMA acheni kuweweseka, mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Tangu chadema wa kufir kwa tabia zako zaki chok°CHADEMA acheni kuweweseka, mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
M
Mtakoma mwaka huu mtaua hadi bibi zenu lakini hamchomoki
Mtakoma mwaka huu washindia makande nyie.Jifunze kupiga mkwara wewe
Hofu yako ni nini?
Mtakoma mwka huu wala makande nyieHapo ndio umepiga mkwara umemaliza
Mtakoma mwka huu wala makande nyie
Mtakoma na makande yenu. Mnajifanya watu wa maana na makelele humu kumbe hata pesa ya kunywa supu hamna mnaamkia makande tu.Nani atakoma na Kwanini
Sasa ndiyo nini hiyo? Unataka kuzuia utafiti wa maoni usitangazwe? Kwani wewe ni nani mpaka ukazuia hicho?Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020.
Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi wa rais na wabunge siku ya pili yake itakuwa ni ubakaji wa hali ya juu ya tasnia ya utafiti nchini kwa maana kwa vyovyote vile itakuwa ni mchezo wa kujaribu kutumia Utafiti kwa ajili ya kutumika kisiasa.
Namuonya Profesa Mukandara kuwa heshima yake kama mwanataaluma nguli, na mtafiti mwenye kuheshimika, heshima yake itaingia doa sana hadi kuchafuka asikoweza kujisafisha kama atashiriki mchezo huo mchafu!
Profesa ajue tu kuwa dunia ya leo ni kijiji na tekinolojua iko wazi, Kama akifanya mchezo huo jumuia ya wasomi wenzie watamdharau sana na heshima yake aliyoijenga kwa muda mrefu itashuka kwa kiwango kisicho mithilika. Na tutasambaza utafiti wake huo katika taasisi mbalimbali duniani wakiwemo "wadau wa maendeleo wa Taasisi hiyo" ili waone hiyo Taasisi ilivyo kituko!
Nawaomba watu wa REDET kama mnapanga kutumika ili kubadili public opinion, au kujustify uporaji wa haki za wananchi basi acheni, hatutowasamehe! Taifa na sauti za wananchi ni bora kuliko vijisenti viwili vitatu au vyeo vya hapa na pale!
Watanzania tuko macho, tunafuatilia sana. Attempt yoyote au Utafiti wowote utakaotoka kukiwa kumebaki Siku moja ili kupiga kura, Hiyo ni Professorial rubbish, na wala hatutaichukulia serious, na yeyote atakayehusika kuleta ufiti huo kanjanja basi tunajua tu kuwa anatumika na tutamdharau na kumpuuza bila kujali kiwango chake cha elimu ya makaratasini. Msomi wa kweli hawezi kukubali kutumika na wanasiasa!, Huyo ni msomi Kanjanja na Feki.
Utatoaje taarifa za utafiti wakati katika sehemu moja ya muungano yaani huko Zanzibar watu wameanza kupiga kura siku hiyo? huo ni ukhanithi wa kitaaluma!
huu si muda muda muafaka wa propaganda wakijifanya eti ni Matokeo ya utafitiSasa ndiyo nini hiyo? Unataka kuzuia utafiti wa maoni usitangazwe? Kwani wewe ni nani mpaka ukazuia hicho?
Kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea mbona mda wote wanatanza maoni ya watu wao mpaka siku ya uchaguzi? kwanini kwetu isiwezekane?
Mkuu tuliza munkari, muda wote ni mwafaka kwa wasomi. Hata Opinion polls kutolewa siku moja kabla ya uchaguzi ni kitu cha kawaida sana duniani. Hata REDET wasiposema ukweli utabaki palepale kuwa watanzania wameamua kumchagua Dkt Magufuli kwa kura za kimbunga. Ni maji hayo mzee yanapita kwenye mkondo wake huwezi kuyazuia kwa mkono.huu si muda muda muafaka wa propaganda wakijifanya eti ni Matokeo ya utafiti