Uchaguzi 2020 REDET kutoa Taarifa ya Utafiti kesho?

Nawaomba watu wa REDET kama mnapanga kutumika ili kubadili public opinion, au kujustify uporaji wa haki za wananchi basi acheni, hatutowasamehe! Taifa na sauti za wananchi ni bora kuliko vijisenti viwili vitatu au vyeo vya hapa na pale!
Huyo prof. Mukandara na REDET yake ni makada na Mafisadi wanaotumika kuibeba CCM, na hawajaanza leo
 
Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020...
Kama ni hivyo,wala sita shangaa kwani udokta na uprofu wakwetu kwetu umegéuka kuwa aibu kwa taifa letu.
 
Mkuu wewe siku zote uko busy kutekeleza majukumu yako, kuna ubaya gani REDET pia wakitekeleza jukumu lao la kuijulisha umma matokeo ya utafiti waliofanya? Kwa nini unawasiwasi na matokeo ambayo hayajatangazwa. Moja ya jukumu lao ni kuujulisha umma matokeo ya tafiti zao na namna tafiti hizo zinaweza kuisaidia umma kufanya maamuzi na kunufaika na matokeo ya tafiti zao.

Wakitangaza matokeo ya tafiti zao baada ya uchaguzi huoni kuwa manufaa yaliyokusudiwa hayatapatikana?. Hatutawatendea haki kuwachagulia ni siku gani watoe matokeo hayo. REDET toeni matokeo yenu na tutawaheshimu sana kwa hilo.
 
CHADEMA acheni kuweweseka, mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
 
Wameshaumbuka hii sio miaka ile walikuwa wanatushtukiza na mautafuti yao ya kuungaunga. Kwa sasa tushajua hadaa yao.
 
M
CHADEMA acheni kuweweseka, mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Mtakoma mwaka huu mtaua hadi bibi zenu lakini hamchomoki
 
CHADEMA acheni kuweweseka, mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Tangu chadema wa kufir kwa tabia zako zaki chok°
 
Hofu yako ni nini?

Ni kampeni siku isiyo rasmi. Mukandala CCM na Mkapa ni wale wale. Umesoma kitabu cha Mkapa?

Wana wadhani watanzania ni mazwazwa.

Zanzibar mshaanza kuuwa. Tofauti ni kuwa safari huu kifo na vipigo havitakuwa na wenyewe.
 
Tulia dawa hikuingie usiingilie kuwafundisha watu kazi zao, wao ndiyo wataalamu wa hizo kazi
 
Sasa ndiyo nini hiyo? Unataka kuzuia utafiti wa maoni usitangazwe? Kwani wewe ni nani mpaka ukazuia hicho?

Kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea mbona mda wote wanatanza maoni ya watu wao mpaka siku ya uchaguzi? kwanini kwetu isiwezekane?
 
huu si muda muda muafaka wa propaganda wakijifanya eti ni Matokeo ya utafiti
 
huu si muda muda muafaka wa propaganda wakijifanya eti ni Matokeo ya utafiti
Mkuu tuliza munkari, muda wote ni mwafaka kwa wasomi. Hata Opinion polls kutolewa siku moja kabla ya uchaguzi ni kitu cha kawaida sana duniani. Hata REDET wasiposema ukweli utabaki palepale kuwa watanzania wameamua kumchagua Dkt Magufuli kwa kura za kimbunga. Ni maji hayo mzee yanapita kwenye mkondo wake huwezi kuyazuia kwa mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…