Elections 2010 Redet walichakachua tathimini walizotoa

Elections 2010 Redet walichakachua tathimini walizotoa

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
2,219
Reaction score
371
Wana JF,

REDET walichakachua tathimini ya utafiti walio ufanya yakuwa JK alikuwa anaongoza kwa kura za maoni na kumbe ukweli huwa haujifichi jamani ni kuwa Dr. Slaa alikuwa anaongoza na JK akafuatia, Na tathimini hizo zilipelekwa IKULU kama zilivyo na baadae jopo hilo la REDET lika kaa na kuchakachua matokeo hayo na kumpa JK ushindi.

Mbaya zaidi ni matokeo ya Zanzibar, CCM kule ilibwagwa kwa aibu kubwa sana na REDET kwa makusudi kabisa yaliyoamliwa na kuto tangaza hizo tathimini za kutoka Zanzibar, kwanini? nikwa ajiri ya kuepusha shari na kufuata utaratibu ambao tiyari ulisha wekwa wa serikali yao ya kuunda serikali ya pamoja na upinzani.
 
Sasa walitumwa na Ikulu kwa nini wapeleke Ikulu badala ya kujilpua
 
Sasa walitumwa na Ikulu kwa nini wapeleke Ikulu badala ya kujilpua

we wadhani nani mwajili wao? na wengi wao waliofanya hiyo kazi walikuwa lecturer wa vyuo vikuu vya serikali nadhani hapo umenielewa.
wangeyalipua tu yangewalipukia wao khaaa

 
Yes,but how should we trust you?source please
 
Back
Top Bottom