Kwanza kabisa serikali ingeingilia kati hizi kampuni uchwara zinazovaa mwamvuli wa kufanya research zinazoibuka from know where na kutapeli watoto wa watu, kwa kuwafanyisha kazi kwa shida bila kuwapa malipo baada ya kumaliza kazi.
REDIFINE AFRICA huwafanyisha kazi watoto wa kike kwa makubaliano ya kuwalipa nauli za Kila siku na malipo baada ya kazi ,kufanyika ndani ya mwezi mmoja.
Cha kushangaza kazi inapoanza huwaambia watu watumie nauli zao kwa makubaliano watarudisha ,na kazi inapomalizika , mabosi hawapokei simu, hawafanyi malipo hata baada ya miezi minne kupitia. Hivi huu si ni utapeli?
Kwa Nini huwafanyie hivyo watu waliojitolea kukufanyia.kazi na wewe ukapata pesa ,alafu uamue kuwadhurumu ?
NB: CLIENTS MNAOFANYAKAZI NA WATU HAWA FUMBUENI MACHO, MNAFANYA KAZI NA MATAPELI