Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
nimeanza na east africa nikaja clouds nikahamia radio one nikaenda kiss fm, majic fm, passion, 100.5, capital... Zote hizi mida hii mapenzi tu. Hivi hakuna zaidi ya hili?
😛ray2::drum::amen:sikilizeni wapo,prays power,upendo,hizo zingine ni radio shetani
huo ndo muda wake... wangekuwa wanazungumzia asubuhi ndo ingekuwa kihoja
Umeona eeh!"yana run
dunia" - ally kiba
aiseeh ! Umejitahidi kweli kutetea !Acheni watuliwaze jamani. Nchi hii inavyoboa, tokea asubuhi unasikia habari za wizi wa mali ya uma na watu wanaendelea kuponda raha wala hawakamatwi. Sasa ukirudi home ukaanza kuyawaza yote haya unaweza hata kuitelekeza familia yako.
Angalau hivi vipindi vinatufanya japo kwa masaa machache tusahau siasa hizi chafu za nchi yetu